Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
sasa hapa ndipo mnapokosea...!Binamu kwani mtoto ni wa nani? mama au baba?
Anabeba surename ya nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapa ndipo mnapokosea...!Binamu kwani mtoto ni wa nani? mama au baba?
Anabeba surename ya nani?
na kamwe hutabadilika na utazidi kuheshimika. big up mkuu. huna tofauti ma my dia wangu, a great dad, an caring hubby. au mmetoka kabila moja nini,? kila kitu ni mipango tu,
Binamu kwani mtoto ni wa nani? mama au baba?
Anabeba surename ya nani?
haya nimekupa moja ya kufutia machozi, nenda kaangalie.Carmel leo nimezimisi SENKSI zako kweli. Hebu do the needful.
Thats a true gentleman as always! tell them boys, they need to grow up.
Geoff nimecheka mpaka basi, my advise usimtese wifi mapema hivyo matofali mazito sana bwana lakini kitasa ni very light and simple.niliwahi kumuuliza mshiki kama angependa tusaidiane kazi akasema NDIYO!...asubuhi yake nikampa ovaroli langu,mwiko wa kujengea,pima maji,helmet ya site,gandi-buti then nikamwambia ''tuongozane kazini my wifey-TUKASAIDIANE''...!unajua kilichotokea?😀😀
😀😀😀Hey! Am a grown up gentleman! NikuPM namba za mama Matesha uthibitishe?
I dont buy it binamu.Kwetu kule N'twala n'toto ni wa mama anabeba sername ya mama si unatujua si Wamwera?
au sio!😀geoff nimecheka mpaka basi, my advise usimtese wifi mapema hivyo matofali mazito sana bwana lakini kitasa ni very light and simple.
hahahaaa baelezeeeeeeeeee baelewa AK 47 ubishi tu...........
Origino 100 pase!!!
Geoff nimecheka mpaka basi, my advise usimtese wifi mapema hivyo matofali mazito sana bwana lakini kitasa ni very light and simple.
Anaongezea nini? stuka mpwa!Mi sifanyi hayo na mai waifu ananisifia hivyohivyo! Tena anaongezea na a real lover.
Hawa wote wanabishana na wanawake hapa ndani ya JF hebu wakute wako ndani ya family
can' say more ...
Hivi siku tukishindwana kabisa utaniambia niondoke na watoto, si utaniambia nenda mwenyewe kama ulivyo kuja, au nakosea.sasa hapa ndipo mnapokosea...!
Dah hi silaha ya sasa naona imeagizwa toka Iraq.Mchumba anajihami kweli! Kuna kitu hapa si bure.😀😀😀
silaha yako mpwaaz ya sasa,dah!
😀😀😀FL1,
Naona hapa watu wanaongeza posts bure. Hakuna kitu cha maana wanachobishania. Pia kuna wengine amani yao ni kusikia akina SHE wakilalamika au kuchukia mbele ya PC zao. Ni sehemu ya mjadala tu, hakuna uhalisia wowote. Ndo maana hata G ameshindwa kueleza kipi anafanya au hafanyi.
Ngoja nisukume kibarua. Wish you all a nice day, Ciao!
Lol, unabahati mbaya! Mbona wengine wanafuta tena katika nyumba za kupanga nje peupeeeeeeeeeeee! Janaume linafua sketi, bra, chupi...lol
silaha ya maangamizi!siku atapewa mtu namba ya ZD(mama-matesha) athibitishe..!patakuwa hapaenei hapa😀😀Dah hi silaha ya sasa naona imeagizwa toka Iraq.Mchumba anajihami kweli! Kuna kitu hapa si bure.
chama gani?😀😀😀
lakini kwenye hichi chama tuko wengi sana....!