Kusaidiana kwenye ndoa...

ckushangai sana! kaka zangu nyie wachaga nawajua sana, ndio zenu hizo ukimsaida wife unaona kama umetawaliwa vile, esp wa marangu.

heheeheeeeeee!!!!!
 
kama na wewe umeni ignore sawa banaa
 
mmmh, ndoa zingekuwa zinatunzwa ili zidumu kihivi kazi ingekuwepo

Very simple! Ndoa ya babu yangu ilikuwa hivi mpaka walipofariki. Ya baba yangu mpaka leo ipo na ya kwangu bado inachapa mwendo...

Ila hili la kufua makufuli yenu? Hapana jamani. Mnisamehe bure! Kama waifu anaumwa kiasi cha kushindwa kufua ntafanya shopping ya makufuli mpaka yaishe kwa shop. Ila kufua hapana!
 
Mi binafsi namsaidia wife, lakini siyo kwa kuloweka sidhani kama nguo za ndani zinatakiwa zichafuke kwa kiwango cha kuziloweka kutwa nzima
 
ishu ni kufuli tu au unaweza kumsaidia kufua hata gauni?
 
You are right!
 
Ila yeye kufua ya kwako sawa siyo?
 
Mi binafsi namsaidia wife, lakini siyo kwa kuloweka sidhani kama nguo za ndani zinatakiwa zichafuke kwa kiwango cha kuziloweka kutwa nzima

kuloweka kufuli haimaanishi kwamba imechafuka, nyeupe zinatakiwa zilowekwe na zifuliwe ipasavyo, sio ki juu juu tu.
 
ovyo kabisa....mtu kama wewe ni maneno tu, unashikiliwa chini na mwanamke vibaya kabisa.

mimi si mwanaume wa kichina mama, mi ni orijino.................... the finest and rare breed of men on earth.............................
 
Mi binafsi namsaidia wife, lakini siyo kwa kuloweka sidhani kama nguo za ndani zinatakiwa zichafuke kwa kiwango cha kuziloweka kutwa nzima
Anayewaambia chupi ikilowekwa ni chafu sana nani? kwa faida ya wote nisikilizeni. wanawake hawaloeki chupi kwa kuwa ni chafu au imevaliwa siku nyingi no, wanawake wengi wasaafi hupendelea kuvaa chupi nyeupe under normal circumstances, na ku take care nguo nyeupe yeyote apart from chupi lazima mara moja moja uwe unailoweka na omo au any detergent. Sasa kama umevaa chupi asubuhi ukarudi jioni kukailoweka kwenye maji ili kesho uifue ing'ae vizuri kuna uhusiano gani uchafu au kuvaliwa siku nyingi? baadhi ya wanawake si kama baadhi ya wanaume wanaoloweka tu kwenye maji na kupikicha kisha kuanika no, mwisho wa siku kama ni nyupe inakuwa ya brown.
 
ishu ni kufuli tu au unaweza kumsaidia kufua hata gauni?

jamani nilitaka kuuliza swali hilo hilo
maneno yote tawatoka nyie vidume ni kufuli ndo zinawaudhi kufua au hata nguo nyingine????
 
kama na wewe umeni ignore sawa banaa

hebu rudisha bwana ile avatr, tafadhari, kutongozwa ni haki yako, usiogope ...................... si na wewe unarusha tu mdongo kiaina siku zinakwenda???????????///.............
 
mimi si mwanaume wa kichina mama, mi ni orijino.................... the finest and rare breed of men on earth.............................
Yeah, rare i agree. You are of your own type, disrespectiful of women, humiliator and bossy. Real men dont do that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…