bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Nature.
kazi kweli kweli
mkubwa, kibaya zaidi wao hawayafanyi majumbani mwao, wanawadanganya mabinti wanaosubiri kuchumbiwa ............... yanapowakuta na kutwangwa makofi wao ndoa zao shwariiiiiiiiiiiiiiiiiii....................
waonye akina pearl, bht nk, sio wavutie spid ndoa halafu waishie kunawa washindwe kula.................
hadanganywi mtu weweee shauri yako............
Huu uzungu huu utamkosa shemeji mi nipo kama fisi vile
yeye mwenyewe mzungu.....
endelea kusubiri na ufisi wako si tunasonga mbele tu...........