Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kuna mjinga atasema kwamba, hata Ukraine anasaidiwa kifedha na silaha lukuki! Ni ujinga tu!
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakalooyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma.
Mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja kwa moja yakaanza kutoa ufadhili wa silaha na fedha juu ya taifa la Ukraine na hakuna alichokifanya Putin na hawezi fanya chochote mpaka hapa!
Sasa najiuliza, Putin kukaa akiomba apewe misaada ya silaha za kivita, ni kuonyesha udhaifu na pia hana silaha za kutosha?
Mbona anataka kuishiwa silaha kwa muda mfupi kiasi hicho na wakati mataifa yenye ubabe na nguvu kubwa za kijeshi huendesha operations zake za kivita zaidi hata ya miaka 20?
Leo yeye tunazungumzia miezi mitano tu anaanza kulialia apewe misaada ya kivita, huyu kweli anastahili kuitwa ni super power?
Au ni ushamba tu!