Kuna mjinga ata comment eti Kwa nini Ukraine anasaidiwa!?
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakaloonyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma,
Sasa, jeuri ya mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja Kwa moja yakaanza kutoa ufadhiri wa sraha na kifedha juu ya taifa la Ukraine na hakuna alichokifanya Putin
Sasa najiuliza, Putin kuruhu apewe misaada ya siraha za kivita, ni kuonyesha kaishiwa?
Mbona anataka kuishiwa siraha Kwa muda mfupi kiasi hiko na wakati mataifa yenye ubabe Mkubwa huendesha operations zake za kivita zaidi hata ya miaka 20 huko?
Leo yeye tunazungumzia miezi mitano tu anaanza kulialia apewe misaada ya kivita, huyu kweli anastahili kuitwa ni super power.?
Au ni ushamba tu!