Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Acha fixNgumu kwa mabeberu,tawala zao nyingi zipo kwenye migogoro ya ndani na mipasuko mikubwa,ila ikiwa unazi amini media zao inakisiwa Matango pori balaa,mwisho uzalisha hata tango sumu🚶
Huyo unaeaminishwa supa pawa mbona haendagi peke yake kwenye battle filed? Vipi ana uwezo mdogo?Kuna mjinga ata comment eti Kwa nini Ukraine anasaidiwa!?
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakaloonyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma,
Sasa, jeuri ya mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja Kwa moja yakaanza kutoa ufadhiri wa sraha na kifedha juu ya taifa la Ukraine na hakuna alichokifanya Putin
Sasa najiuliza, Putin kuruhu apewe misaada ya siraha za kivita, ni kuonyesha kaishiwa?
Mbona anataka kuishiwa siraha Kwa muda mfupi kiasi hiko na wakati mataifa yenye ubabe Mkubwa huendesha operations zake za kivita zaidi hata ya miaka 20 huko?
Leo yeye tunazungumzia miezi mitano tu anaanza kulialia apewe misaada ya kivita, huyu kweli anastahili kuitwa ni super power.?
Au ni ushamba tu!
Ni ushamba tu. Mrusi na wanaomshabikia ni washamba.Kuna mjinga ata comment eti Kwa nini Ukraine anasaidiwa!?
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakaloonyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma,
Sasa, jeuri ya mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja Kwa moja yakaanza kutoa ufadhiri wa sraha na kifedha juu ya taifa la Ukraine na hakuna alichokifanya Putin
Sasa najiuliza, Putin kuruhu apewe misaada ya siraha za kivita, ni kuonyesha kaishiwa?
Mbona anataka kuishiwa siraha Kwa muda mfupi kiasi hiko na wakati mataifa yenye ubabe Mkubwa huendesha operations zake za kivita zaidi hata ya miaka 20 huko?
Leo yeye tunazungumzia miezi mitano tu anaanza kulialia apewe misaada ya kivita, huyu kweli anastahili kuitwa ni super power.?
Au ni ushamba tu!
Umeongea kwa uchungu mkali sanaMandonga mshamba putin sana
Huliwah kujiuliza kwanini Marekan anapopigana katika vita huwa hawi pekeeake lazima ashawishi washirika wake ndipo anaingia mzigon akiwa na washirika wake? Sio Libya, Sio Iraq kote alienda na NATO? Ata hapo Ukraine kwanini anakerekwa sana akiona mataifa ya Ulaya yanasita kupeleka siraha Ukraine, basi ujue ingekuwa yeye pekeake ndo anamsadia Ukraine angeshindwa Stock yake ingekuwa ishakata, na mpaka sasa licha ya yote stock ya ya siraha USA iko ukingonu kwasasaKuna mjinga ata comment eti Kwa nini Ukraine anasaidiwa!?
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakaloonyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma,
Sasa, jeuri ya mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja Kwa moja yakaanza kutoa ufadhiri wa sraha na kifedha juu ya taifa la Ukraine na hakuna alichokifanya Putin
Sasa najiuliza, Putin kuruhu apewe misaada ya siraha za kivita, ni kuonyesha kaishiwa?
Mbona anataka kuishiwa siraha Kwa muda mfupi kiasi hiko na wakati mataifa yenye ubabe Mkubwa huendesha operations zake za kivita zaidi hata ya miaka 20 huko?
Leo yeye tunazungumzia miezi mitano tu anaanza kulialia apewe misaada ya kivita, huyu kweli anastahili kuitwa ni super power.?
Au ni ushamba tu!
Unadhani aliwapoitangazia dunia kuwa atayeingilia mgogoro hua atakipata, hakufahamu kuwa hana baadhi ya silaha mhimu kama hizo?Silaha nyingi anazosaidiwa Mrusi ni zile ambazo hana ujuzi nazo wa kutosha hususani ndege zisizo na rubani (drones).
Urusi imekuwa na mikataba mikubwa ya silaha na nchi kama Israel inayohusisha ununuzi wa drones, lakini kwa sababu ya vikwazo vya kiuchumi, biashara inashindikana, hivyo inawalazimu kutafuta 'shortcuts' za kupata hizo silaha.
Putin alienda kwa Ayatolah kulialia apewe msaada wa drones kwa hiyo Urusi silaha zingine hana mpaka asaidiwe.Kumbuka huyo Russia anajitengenezea silaha za kila Aina.
Urusi ina nunua,haisaidiwi,alafu inanunua ili ikitokea vita vimeanza Kati yake na NATO,awe ana silaha za kutosha pia anachanganya technology kwamba NATO wamezoea drones zake,sasa anapoleta silaha geni,mpaka wake kuzijulia atakuwa amewaumiza vibaya,mfano drones lran zimeleta maafa makubwa Ukraine wanashindwa kuzikabili mpaka sasaKuna mjinga ata comment eti Kwa nini Ukraine anasaidiwa!?
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakaloonyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma,
Sasa, jeuri ya mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja Kwa moja yakaanza kutoa ufadhiri wa sraha na kifedha juu ya taifa la Ukraine na hakuna alichokifanya Putin
Sasa najiuliza, Putin kuruhu apewe misaada ya siraha za kivita, ni kuonyesha kaishiwa?
Mbona anataka kuishiwa siraha Kwa muda mfupi kiasi hiko na wakati mataifa yenye ubabe Mkubwa huendesha operations zake za kivita zaidi hata ya miaka 20 huko?
Leo yeye tunazungumzia miezi mitano tu anaanza kulialia apewe misaada ya kivita, huyu kweli anastahili kuitwa ni super power.?
Au ni ushamba tu!
Putin ajaomba msaada wa silaha za kivita ila uongoz wa nchi wenyewe ndo umeamua kuungana nao na hizo drone za kivita ni new model na ndo maana marekani inabadhiri kuwa aina hiyo inawezakuwa imetoka Iran na ndipo hao kukanusha hivo Haina maana kuwa silaha zimeisha Kwa vita ipi sasa bomu tu ndo silaha ziishe haipo hvo.Kuna mjinga ata comment eti Kwa nini Ukraine anasaidiwa!?
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakaloonyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma,
Sasa, jeuri ya mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja Kwa moja yakaanza kutoa ufadhiri wa sraha na kifedha juu ya taifa la Ukraine na hakuna alichokifanya Putin
Sasa najiuliza, Putin kuruhu apewe misaada ya siraha za kivita, ni kuonyesha kaishiwa?
Mbona anataka kuishiwa siraha Kwa muda mfupi kiasi hiko na wakati mataifa yenye ubabe Mkubwa huendesha operations zake za kivita zaidi hata ya miaka 20 huko?
Leo yeye tunazungumzia miezi mitano tu anaanza kulialia apewe misaada ya kivita, huyu kweli anastahili kuitwa ni super power.?
Au ni ushamba tu!
Leo Ukraine ananza dai Mrusi anatumia silaha zailizo haramishwa, naona ni njia ingine ya kuisingizia Urusi.Putin ajaomba msaada wa silaha za kivita ila uongoz wa nchi wenyewe ndo umeamua kuungana nao na hizo drone za kivita ni new model na ndo maana marekani inabadhiri kuwa aina hiyo inawezakuwa imetoka Iran na ndipo hao kukanusha hivo Haina maana kuwa silaha zimeisha Kwa vita ipi sasa bomu tu ndo silaha ziishe haipo hvo.
N.b nadhani Bado hata Putin ajagusa hmala ya silaha
Kusalenda kwa namna ipi?Unadhani aliwapoitangazia dunia kuwa atayeingilia mgogoro hua atakipata, hakufahamu kuwa hana baadhi ya silaha mhimu kama hizo?
Piga picha,
Inamaana silaha anazosaidia, kusingetokea asaidiwe angeinua mikono juu Kwa Ukraine Kwa sasa ishara ya kusalenda.?
Uko sahihi kaka wanaona kama wanacheleweshwa but Russia Kuna kitu inasubiri hvo acha Ukraine waendelee kulialia tuHii yote ni kutokana na Russia kufanya mashambulizi mfululizo!Tatizo upande wa pili mnalialia sana,mkipelekewa taratibu mnavimba vifua,mkipelekewa moto mnaanza kulialia!
Russia ananunua silaha,hasaidiwi!
Hii SMO haijulikani itaisha lini,so Russia anajihadhari asitumie mzigo wake mwingi!Lakini pia anaweka akiba silaha zake Incase of escalation!
US na NATO wote wanampa silaha Ukraine,nchi zaidi ya 30!Sasa unataka Russia akomae na silaha zake tu?Mbona US hajauvaa mzigo wa uKraine mwenyewe?
Sasa wewe unaejua kwa nini husemi unayoyajua?Inaonekana hujui chochote