Nimeona kwenye taarifa ya habari kua ni kinyume cha sheria kua na biashara usiyosajiliwa, naomba kujuzwa na wanaojua huu utaratibu ulivyo,
Ni biashara ipi inayotakiwa kusajiliwa na nini faida za kusajili na hasara zake pia, wajuvi karibuni kwa msaada ili nijue pa kuanzia kama ntahitajika kufanya hivyo.