Kusajili biashara BRELA, naomba kueleweshwa wakuu

Kusajili biashara BRELA, naomba kueleweshwa wakuu

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
5,420
Reaction score
7,788
Nimeona kwenye taarifa ya habari kuwa ni kinyume cha sheria kuwa na biashara isiyosajiliwa. Naomba kujuzwa na wanaojua huu utaratibu ulivyo.

Ni biashara ipi inayotakiwa kusajiliwa na nini faida za kusajili na hasara zake pia. Wajuvi karibuni kwa msaada ili nijue pa kuanzia kama nitahitajika kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom