TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
PM tuyajenge!Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama baiomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
Toa elimu hapa na wengine wajifunze acha utapeliPM tuyajenge!
poa asante kwa jibu zuri!Toa elimu hapa na wengine wajifunze acha utapeli
Ume-limitPM tuyajenge!
Your PM Isn't accessible please!PM tuyajenge!