Kusambaratika kwa uchumi wa Kenya, wakenya wazidi kuchanganyikiwa

Hapana bapo tunaonyesha tumeipiga bao "KO" hiyo esi jiara ya mchina ndiyo maana tumeweka picha yake
Hii ndio ile Geza huitwa Debe la Chang'aa [emoji23] kumbe mnalitambua hadi mkalitumia kwa picha yenu?
 
COW ilifanya nigundue sura halisi za hawa majirani zetu shukrani za dhati ziende kwa JK na team yake na sasa wacha JIWE awasomeshe namba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi tuliokulia kanda ya Ziwa tunaelewa jinsi Kenya ilivyotusaidia,miaka hiyo kuja huko kwenu Dar au Arusha ilitubidi kupitia Kenya la sivyo ilitulazimu kutumia siku zaidi ya Tatu kufika hapo tu Dar,Kenya ya wakati huo wala hawakuwa na ujinga huu wa kuzodoana kijinga kama mnavyofanya,miaka hiyo ndala,viatu vya bata ilikuwa mkombozi kwetu,Kenya kwa kiasi kikubwa pamoja na SA imesaidia sana kuinua uchumi wa nchi hii hasa baada ya raisi mwenye akili Mkapa kujua umuhimu wa kushirikiana na nchi zenye akili,Tanzania tunawahitaji sana majirani zetu kama wao wanavyotuitaji pia,hii akili ya ujamaa haitatusaidia chochote
 
Mpaka leo Hayati mwalimu nyerere atabakia kuwa sahihi kwa kuchagua mfumo wa kijamaa kutumika Tz hakuna taifa imara kiuchumi bila ya falsafa za kijamaa

Hivi unajua kuwa karibia nchi zote za Nordic ni wajamaa ?
Kwa sisi tuliokulia kanda ya Ziwa tunaelewa jinsi Kenya ilivyotusaidia,miaka hiyo kuja huko kwenu Dar au Arusha ilitubidi kupitia Kenya la sivyo ilitulazimu kutumia siku zaidi ya Tatu kufika hapo tu Dar,Kenya ya wakati huo wala hawakuwa na ujinga huu wa kuzodoana kijinga kama mnavyofanya,miaka hiyo ndala,viatu vya bata ilikuwa mkombozi kwetu,Kenya kwa kiasi kikubwa pamoja na SA imesaidia sana kuinua uchumi wa nchi hii hasa baada ya raisi mwenye akili Mkapa kujua umuhimu wa kushirikiana na nchi zenye akili,Tanzania tunawahitaji sana majirani zetu kama wao wanavyotuitaji pia,hii akili ya ujamaa haitatusaidia chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ikiwa na mjingaa mmoja kama wewe ni harasa kubwa sana tena sana hapo ni sawa sawa na kuwa shukuru wazungu Kwa kutupatia ARV dawa za ukimwi bila kujua kuwa wao ndiyo walio tuletea ili gonjwa na kulitungia Sera na mikakati ya kulisambaza Kwa kupitia ejiooo

Mfano wako unaonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga,kwa hiyo Kenya ndo walisababisha tuchelewe kujenga barabara ya Mwanza Dar mpaka kutulazimu kupitia Kenya ili ufike Dar,umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu
 
Kupitia social media, kila siku.
Na mimi naomba nikupee yangu. This one here is the Tanzania 99% of Kenyans don't know about.
 
Hayo yote yanafahamika, na ni ukweli wakenya wengi wakiwemo wanasiasa wenu wanatamani wapate kiongozi kama JPM hadi wengine huwa wanapost video clips zake.
 
Niamini mkuu, Wakenya wachache sana ndio wana ufahamu na siasa zenu zinavyoendeshwa.
Ningetamani uwe Kenya, pick a random person muulize Naibu Rais wa Jamhuri ya Tz ni nani...hawafahamu!We're that ignorant!
 
Niamini mimi, wakenya wengi wanatamani kumpata Rais kama JPM.
 
Back
Top Bottom