Ahsante kwa ushauri mkuuziko njia nyingi sana za kutafuta kazi,hiyo ni mojawapo,ila ukitaka ufanikiwe kwa njia hiyo,jaribu kutafuta jina la boss,pitisha barua yako kwa secretary,na uiandike jina la boss wa hiyo ofisi unayotaka kwenda,na umwambie ni private,katika pitapita zangu nimegundua kuna watu wasiotakia wenzao heri,wakizipotezea CV za watu....hata walinzi sometimes hupotezea wakidhani hamna kazi,lakini anayejua wapi anahitajika ni boss tu...have confidence and try my trick.kama watakuuliza ni nini kipo ndani au una shida gani,waambie ni private,by labelling hiyo barua kwa exact name ya boss wataogopa kuifungua,na itaenda direct kwa boss,na unaweza ukajipatia interview and labda ukabahatika kupata kazi...kumbuka proffessional dresscode,whenever you are near the ofices,ukipeleka CV na cover letter au ukiitwa...huwezi jua,,,kila la kheri
Aaamin mkuuAjira kwa kweli ni tatizo duuuuuuuuuuh walinzi, ma secretary huwa ni kikwazo saana katika kutafuta kazi, wakuu nilienda pale TAHESA jamani kuna masecretary niliwakuta sijui maadili wamejifunzia wapi? wana nyodo wana dharau yaani wanaongea na watu kama vile unawatia kinyaa kwa kweli nawaombea rehema za Mungu
ziko njia nyingi sana za kutafuta kazi,hiyo ni mojawapo,ila ukitaka ufanikiwe kwa njia hiyo,jaribu kutafuta jina la boss,pitisha barua yako kwa secretary,na uiandike jina la boss wa hiyo ofisi unayotaka kwenda,na umwambie ni private,katika pitapita zangu nimegundua kuna watu wasiotakia wenzao heri,wakizipotezea CV za watu....hata walinzi sometimes hupotezea wakidhani hamna kazi,lakini anayejua wapi anahitajika ni boss tu...have confidence and try my trick.kama watakuuliza ni nini kipo ndani au una shida gani,waambie ni private,by labelling hiyo barua kwa exact name ya boss wataogopa kuifungua,na itaenda direct kwa boss,na unaweza ukajipatia interview and labda ukabahatika kupata kazi...kumbuka proffessional dresscode,whenever you are near the ofices,ukipeleka CV na cover letter au ukiitwa...huwezi jua,,,kila la kheri
it may work too,ila kama uko karibu na hiyo ofisi bora upeleke kwa mkonoNimeipenda sana hii njia yako, but just to ask, mfano kama una email ya bosi huyo then ukatuma CV direct kwenye email yake si itakuwa sawa na barua or hard copy ina matter kuliko email. Please your thoughts are required on this of email and hard copy letter