Wana Jf,hivi hii njia ya kusambaza cv ofisi mbalimbali hapa jijini kwa lengo la kutafuta kazi,hii njia ni sahihi kweli. Nasema hivyo kwa sababu mimi binafsi nimesambaza cv kwa wingi hapa Dsalaam,lakini cha kushangaza sijajibiwa hata sehemu moja,ila hizi kazi zinazotangwaza nikituma cv na maombi angalau huwa naitwa kwenye usaili.Ninachojiuliza ni kwamba hii ya kusambaza cv kwenye maofisi kweli ni njia nzuri ya kuomba kazi?, Au kama kuna yeyote ambae amefanikiwa kwa njia hii?