Kusambaza taarifa binafsi kuhusu migogoro ya kifamilia ya watu bila idhini ya wahusika ni kukiuka haki ya faragha

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Kwa mujibu wa wa kifungu cha 60 & 63 cha Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Toleo Namba 44 la 2023 kusambaza taarifa binafsi kuhusu migogoro ya kifamilia ya watu bila idhini ya wahusika ni kukiuka haki ya faragha.

Na iwapo ukapatikana na hatia kwa mtu binafsi anapaswa kulipa faini isiyopungua Tshs. laki 1 hadi milioni 20 au kifungo cha miaka 10 au vyote kwa pamoja na ikiwa ni kampuni itatakiwa kulipa kati ya Tshs. milioni 1 hadi bilioni 5.

Pia, baada ya mtu kutiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria hiyo, mahakama inaweza kuamuru kukamatwa kwa vifaa vyake vyenye taarifa binafsi vilivyohusika katika kutenda kosa.
 
Chala boy huwa anapewa idhini na nani??
 
Back
Top Bottom