kusamehe.......

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Najua nilikukosea big time,umeni cut off hata simu zangu hupokei na PM ume block kupokea,kwa kuwa tulikutana humu jamvini,tena mmu specifically, hivyo nakuomba usome signature yangu hapo chini na kisha ujipime uko kundi gani la binadamu........
 
Bishanga nakupendea kitu kimoja tu, you always say sorry ukimkosea mtu,i hope amekusikia na kwa njia hii nahisi atakusamehe
 
sikusamehi, kwa nini uturoke na King'asti wakati unajua shoga angu?

Umenidhalilisha sana.
we si unajua mai bunduki risasi kushney,sasa King' nimfanyeje? all i need is company.
 
mabwaku kumbe ni konnie mnajuana wenyewe ngoja niendelee kupost na view uzi tu huku nyie mkieleewana wenyewe..
 
na ajue kwamba wastaarabu tu ndo wanaomba msamaha. asipokusamehe basi tena
 
Bishanga naomba uniandikie signature yako basi maana sisi WA via mobile hatuoni signature. Natanguliza shukrani ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…