Ni kule kwenye Jukwaa la Lugha, karibu ujifunze msamiati mpya kutoka mtaani kwetu kila siku na uongeze lolote kama unalo kuhusu maneno haya ya kwetu.
Karibuni sana...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/405830-neno-la-leo-kutoka-mtaani-kwetu.html#post5755598
Hujambo toto langu la kiarabu??nlikumiss ujue
Hujambo toto langu la kiarabu??
Na mimi niliwamiss pia, sasa hata kunianzishia thred jamani?
mi sio mpenzi sana wa huko ila naipenda lugha kitaa sana.chukua hi dude ukwatemee pwaaaaa...MALONYALONYA ni nguo za kusagula mitumbani lkn zilipigwa marufuku akini bado zipo sana, TZ RAHA SANA NAJIVUNIA KUWA MTZ na kiswahili lugha yangu na ninaipenda mingi mingi