Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Rais anashauriwa vibaya. Tumekuwa tukiwatetea Marais wetu wapendwa kwa kauli hii. Unajiuliza yeye Rais hana akili? Yaaani leo hii nije kukushauri ukajisaidie hadharani itaonesha kuwa wewe ni mtu wa watu huchagui au huna majidai.
Nawe unaenda? Wewe si huna akili sasa? Hii kauli ilishika kasi sana awamu ya 4 na 5 na sasa ya 6 imepamba moto kile ambacho Rais anakosea tunasema anashauriwa vibaya.
Anachofanya kutufurahisha kinakuwa maamuzi yake. Sasa hii maana yake kina watu wana kazi tu ya kuwashauri/kuwapotosha Marais na wanaendelea kula mema ya nchi?
Lakini kwa nini nasi tunapenda Marais vilaza ikiwa ndiyo maana yake. Hawawezi fikiria au hawana maono?
Tuacheni MARAIS WAWAJIBIKE KWA MAKOSA YAO. KILA MMOJA KWA SEHEMU YAKE. AMA SIVYO TUCHAGUE MARAIS SMART.