Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mkuu, alipoteua, akatengua kabla hajaapisha, kwa mara ya kwanza, tukasema kuteleza kupo, ingawa si jambo hilo kwakuwa anazo tools zote za kuhakikisha kuwa makosa hayatokei, muda upo kwakuwa haikuwa dharula.Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!?
Kitwanga alikuwa ameshakunywa Konyagi wakati anaongea maneno haya. Huyu naye ni wa kumchukulia seriuos kweli?Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri.
Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!?
Wengi wanafikiri kwa kusema hivyo wanamtetea Rais lakini ukweli ni kuwa wanamtukanisha. Pengine labda waseme kuna watu wenye nguvu wanaomshinikiza Rais kufuata ushauri fulani mbovu, lakini kusema Rais anashauriwa vibaya inamjengea Rais picha mbaya.
Si nchi hii tu, na si zama hizi tu. Watawala wengi, hata machief wa kijadi walikuwa na kundi la watu nyuma yao wenye nguvu. Watu walioweza kumfanya kiongozi afanye mambo fulani hata kama hakunaliani nayo.Kuna mtu mwenye nguvu kuliko raisi nchi hii?
Kitwanga si wa kumchukulia serious, sema ni wengi wamekuwa wakisema kauli kama hizi na kwa miaka mingi.Kitwanga alikuwa ameshakunywa Konyagi wakati anaongea maneno haya. Huyu naye ni wa kumchukulia seriuos kweli?
Sukuma Gang wanamuandama sana Mh. RaisHii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri...
Kuendelea kujibizana na wewe humu ni kazi bure tu.Si nchi hii tu, na si zama hizi tu. Watawala wengi, hata machief wa kijadi walikuwa na kundi la watu nyuma yao wenye nguvu. Watu walioweza kumfanya kiongozi afanye mambo fulani hata kama hakunaliani nayo.
Ah,Kitwanga ndiyo yule mheshimiwa aliyekuwa amelewa bungeni?Kitwanga alikuwa ameshakunywa Konyagi wakati anaongea maneno haya. Huyu naye ni wa kumchukulia seriuos kweli?
SwadaktaaAh,Kitwanga ndiyo yule mheshimiwa aliyekuwa amelewa bungeni?
Ndio ni yeye, ila safari hii maneno haya ameyasema akiwa hajalewa!.Ah,Kitwanga ndiyo yule mheshimiwa aliyekuwa amelewa bungeni?
Kitwanga kasema ukweli mtupu ila shida Watanzania hatupendi kujadili hoja bali mtoa hoja.Ndio ni yeye, ila safari hii maneno haya ameyasema akiwa hajalewa!.
So tambua hata walevi huwa wana akili timamu na wanaongea facts.
Mama ajitafakari genge linalomzunguka.
Kitwanga alikuwa ameshakunywa Konyagi wakati anaongea maneno haya. Huyu naye ni wa kumchukulia seriuos kweli?
Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri.
Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!?
Wengi wanafikiri kwa kusema hivyo wanamtetea Rais lakini ukweli ni kuwa wanamtukanisha. Pengine labda waseme kuna watu wenye nguvu wanaomshinikiza Rais kufuata ushauri fulani mbovu, lakini kusema Rais anashauriwa vibaya inamjengea Rais picha mbaya.
Wengi ni waliokosa uteuzi kama akina KitwangaHii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri.