Kusema kweli nikishinda bet sitapokea simu

Kusema kweli nikishinda bet sitapokea simu

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Jamani sijui mimi nipoje, sina mpango kabisa wa kupokea simu ikinipongeza eti nimeshinda. Yaani kucheza nicheze mimi alafu watanzania wajulishwe eti nimeshinda.

So, habari ndo hiyo! Kama leo utasikia simu ya mshindi ikiita pasipo kupokelewa, jua ni mimi.
 
Ukishinda wapi? Nani akupigie simu?, km umeshinda million 180,000,000 utaombwa namba ya a/c ya bank km utataka kwenda ni hiari sio lazima Ila Board inachukua 20,000,000

Km umeshinda Billion 4 na million 500 pia utapigiwa simu kuombwa namba ya a/c ya bank Ila board inachukua million 500, umeshinda wapi? Kwenda kuonekana sio lazima ni hiari yako

Umeshinda wapi?

Nikishinda Billion 4 na Million 500 Nina mpango wa KUPOTEA nisionekane moja kwa moja maisha yangu yote,
Screenshot_20230122-141525.png
 
Ukishinda wapi? Nani akupigie simu?, km umeshinda million 180,000,000 utaombwa namba ya a/c ya bank km utataka kwenda ni hiari sio lazima Ila Board inachukua 20,000,000

Km umeshinda Billion 4 na million 500 pia utapigiwa simu kuombwa namba ya a/c ya bank Ila board inachukua million 500, umeshinda wapi? Kwenda kuonekana sio lazima ni hiari yako

Umeshinda wapi?
Umewahi shinda mkuu
 
Back
Top Bottom