Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

Wewe ndio umeamua kuvutia kwenye upande wa misikitini. Ila kiukweli ndugu yako ni mtu yeyote aliyekaribu yako anayeweza kukusaidia haraka.

Mtoto kutangazwa msikitini ni kwa sababu zile Spika za PA misikitini zinasauti kubwa kufikia watu wengi hata wa mitaa ya mbali, Makanisa Speaker zao sauti ni za Eneo husika, kama kapotea hapo atatangazwa hapo tu Kanisani.

Kuna waislamu kibao wamesaidiwa na Wakristo, na kuna wakristo kibao wamesaidiwa na waislamu.

Na kuna waislamu kibao hawaelewani na hawasaidiani.

Kaka uwezi kusema Muislamu ndugu yake ni muislamu, hii kauli waarabu wanaitumia hili muwasaidie wao kwanza. Ila kiukweli Muafrika mwenzako ndio Ndugu yako wa kwanza. Sudan imejaa waislamu kibao mbona uendi kutoa msaada, ila muarabu akipata shida utasikia mnakusanyika kusema Muislamu ndugu yake muislamu, kwani msudani sio muislamu
 
 
Sasa wewe akisema muisilamu nduguye muisilamu kinacho kukela nini?au chuki inakusumbua
 
Njaa mbaya sana,,,
 
Kuna Mwislamu mmoja kwa sasa kabadili dini na kuwa mmomoni na ana ka cheo fulani huko.

Anasimulia kuwa, Mwislamu ndugu yake ni Mwislamu.
Hii ni pamoja na yale Majini mnayosema ni mema na ni maislamu kuwa ni ndugu zenu pia.

Anaenda mbali zaidi na kusema kila wakati wa Swala Misikitini nayo yanajumuika kuswali na Waislamu watu.

Ndio maana Mwanamke wa katika siku zake haruhusiwi kuingia Msikitini kwakuwa Majini chakula chake ni Damu yata nyonya damu yote na kumsababishia Umauti.

Pia Mnapoingia Msikitini kuswali ni lazima Muwasalimie Majini kulia na kushoto.
Asalameikum, kulia. Asalameikum kushoto.

Je jambo hilo ni kweli ?

Maelezo yangu ni ya Kweli kabisa anayebisha nitamwonyesha anavyo ongea YouTube.

Na jina nitawatajia.
Ili muione hiyo Video, ipo hadi sasa na nimeiangalia Jana tu.

Nauliza vipi Ndugu kwa ndugu mnyonyane damu hadi uwafike umauti?
Na hao Majini wema?
Tena kwenye Nyumba ya toba?
Huo wema wao uko wapi ?
Kama mnakaushana damu ndugu kwa ndugu?
 
Sisj waafrica tunahitaji ukombozi wa kifikra kwanza maana tuna sema tuna uhuru lakini ki ukweli hatuna uhuru nchi zetu zina mali asili kibao lakini zina faida kwa wachache dini nazo ndo zimetufanya tuwe machiziiii kabisa.Babu zetu wakifufuka wakakuta ujinga tunao ufanya watajilaumu sana kwa nn hawakupiga nyeto kuliko kuzaa majitu km sisi tumeacha vya kwetu vyote mpaka majina.So sad!!
 
Umetema madini mazito
 
Waafrika tunatawaliwa na kasumba ya utumwa mno kuliko jamii yoyote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…