Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
Mkuu, mbona tunazo KPI zetu hapa hapa Tanzania?Kilicholeta maendeleo ya haraka China ni hivi: kila mtendaji anapangiwa KPI zake na wa juu yake anafuatilia. Ufanisi unapimwa, ukiwa umefanikisha unasonga mbele la sivyo unapisha nafasi. No stories, no excuses, just get it done
Hawa jamaa ni balaa mkuu 'Augustine Moshi'.Kilicholeta maendeleo ya haraka China ni hivi: kila mtendaji anapangiwa KPI zake na wa juu yake anafuatilia. Ufanisi unapimwa, ukiwa umefanikisha unasonga mbele la sivyo unapisha nafasi. No stories, no excuses, just get it done.
Mkuu 'Augustine Moshi', ulishapata jibu la hili swali?Naomba kumalizia kwa kuuliza: kuna mtu amewahi kuona GantChart ya ujenzi wa SGR au Bwabwa la Stiegler Gorge? Vinamalizika lini? Yaani hata Dar to Dodoma SGR bado treni haitembei? Si kuna umeme wake tayari, na sio kusubiri Stiegler Gorge? Tumechoka kuisikia hiyo SGR, sasa tunataka tuone treni ikitembea.
Ahahaha shida inaanzia kwa huyo mama sasa akili yake ndogo sana,yeye anachoweza ni unafiki,na viongozi wetu wengi hawawezi simamia ukweli hata robo,matumbo yao na maisha ya DeoMkuu 'Augustine Moshi', ulishapata jibu la hili swali?
Mada hii imekaa hapa tokea October 10, lakini angalia nini kimechangiwa hapa. Hii ni mada muhimu sana!
Inaonyesha wachangiaji wanavutiwa zaidi na mada za CCM na wapinzani, kuliko hizi ambazo ndio hasa tunazotakiwa kuziwekea umuhimu kwa maendeleo ya nchi yetu
Nami ningependa kujua SGR, kipande cha Morogoro na Dar es Salaam, kitakamilika lini? Mbona kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea? Hiki kipande kilitakiwa kuwa kimekamilika nadhani tokea mwaka jana, lakini siku hizi naona hata wanaona aibu kukizungumzia!
Magufuli, ubaya wake hauwezi kufutika, lakini kwenye mambo ya ufuatiliaji alikuwa mzuri sana. Wakati huu tungebahatika kumpata mtu mwenye sifa hiyo bila yale madudu mengine ya Magufuli, taifa lingefanikiwa sana. Kwani wakati ni huu hasa tunapotakiwa kuinuka kwa nguvu toka chini kwenda juu.
Huyu mama hatufikishi popote. Yeye ni mtu wa mipasho zaidi kuliko ufuatiliaji na kuhakikisha kazi imefanyika ipasavyo.
Mkuu Augustine Moshi , asante kwa hii, naunga mkono hoja, mimi nilikuwa kushauri tuwe na SMART objectives zenye short term objectives, medium term na long time objectives na kufanya MTR from time to time.Mara nyingi tunasikia viongozi wakisema “nendeni mkafanye”. Hiyo haitoshi kuleta utekelezaji. Lazima kutoa KPI (Key Performance Indicator) na kufuatilia utekelezaji wake.
Kilicholeta maendeleo ya haraka China ni hivi: kila mtendaji anapangiwa KPI zake na wa juu yake anafuatilia. Ufanisi unapimwa, ukiwa umefanikisha unasonga mbele la sivyo unapisha nafasi. No stories, no excuses, just get it done.
Nimeona Makamu wa Rais amelalamika kwamba tunaagiza biskuti na sabuni nje. Akasema hilo ni kutumia fedha vibaya na kuwanyima Watanzania nafasi za kazi. Badala ya kuwapangia mawaziri husika KPI yeye akasema “nendeni mkalifanyie hilo kazi”. Those are not effective words. Nothing will happen.
Kuna hizi fedha za Uviko ambazo zimeelekezwa kwenye kujenga madarasa na vituo vya afya. Kutaja idadi ni mwanzo mzuri. Idadi halafu “nendeni mkalifanyie kazi” haitoshi. Rais na Waziri Mkuu wangepashwa kuagiza ma RC walete work plan za kila mkoa kufikia tarehe….. Na ma RC waagize DC kuleta GantChart ya utekelezaji wa ujenzi wa hayo madarasa 70 ya kila Jimbo kufikia tarehe…… na ma DC waagize kuletewa building plans za kila darasa na Watendaji kufikia tarehe…. etc.
Maneno ya kificho cha uvivu na uzembe (kama "mpango mkakati unaendelea" na "mchakato wa mpango mkakati" yakatazwe). Jiwe alikuwa na mapungufu yake lakini neno lake la “hapa kazi tu lilikuwa spot on”
Tumevurunda vya kutosha, sasa tuache maneno. Kama Makamu wa Rais anataka tuwe na viwanda vya biskuti na sabuni aache neno jepesi la “kalifanyieni kazi”. Aanze yeye kulifanyia kazi. Atoe DIRECTIVE nini hasa kifanyike na ni nani akifanye na kikamilike lini. Kila asiyeweza kufanikisha KPI zake aondoke tu, maana hakuna namna.
Maneno yangekuwa yanaleta maendeleo basi Waswahili wangekuwa wameendelea sana.
Naomba kumalizia kwa kuuliza: kuna mtu amewahi kuona GantChart ya ujenzi wa SGR au Bwabwa la Stiegler Gorge? Vinamalizika lini? Yaani hata Dar to Dodoma SGR bado treni haitembei? Si kuna umeme wake tayari, na sio kusubiri Stiegler Gorge? Tumechoka kuisikia hiyo SGR, sasa tunataka tuone treni ikitembea.
Mara nyingi tunasikia viongozi wakisema “nendeni mkafanye”. Hiyo haitoshi kuleta utekelezaji. Lazima kutoa KPI (Key Performance Indicator) na kufuatilia utekelezaji wake.

Si unawasikia akina Kassim Majaliwa wanavyoimba sasa kumhusu huyo mama?Ahahaha shida inaanzia kwa huyo mama sasa akili yake ndogo sana,yeye anachoweza ni unafiki,na viongozi wetu wengi hawawezi simamia ukweli hata robo,matumbo yao na maisha ya Deo
Wakuu niwaulize mmekwenda site na kuona hizi kampuni hawana Programme of works? KPI's etc? Mimi nasubiri hizo treni zitue (BTW Covid-19 ndio imechelewesha hizo treni kufika .... .... I presume). Mwenye Info sahihi aweke hapa.Mkuu Augustine Moshi , asante kwa hii, naunga mkono hoja, mimi nilikuwa kushauri tuwe na SMART objectives zenye short term objectives, medium term na long time objectives na kufanya MTR from time to time.
PKupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!
Wanabodi, Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu. Ili Tanzania tuendelee kwa kupata maendeleo ya kweli, na sio maendeleo kiini macho, tunahitaji kujenga taasisi Imara ( strong institutions), zenye mifumo imara, ( an...www.jamiiforums.com
Wakuu niwaulize mmekwenda site na kuona hizi kampuni hawana Programme of works? KPI's etc? Mimi nasubiri hizo treni zitue (BTW Covid-19 ndio imechelewesha hizo treni kufika .... .... I presume). Mwenye Info sahihi aweke hapa.
Kuhusu ''hilo nendeni mkalifanyie kazi'' Hapo WTZ tumeingia choo cha kike. Mwenyezi Mungu ndiye atatunusuru tu.
Watu wanajiandaa kupiga pesa hakuna namna hapoMara nyingi tunasikia viongozi wakisema “nendeni mkafanye”. Hiyo haitoshi kuleta utekelezaji. Lazima kutoa KPI (Key Performance Indicator) na kufuatilia utekelezaji wake.
Kilicholeta maendeleo ya haraka China ni hivi: kila mtendaji anapangiwa KPI zake na wa juu yake anafuatilia. Ufanisi unapimwa, ukiwa umefanikisha unasonga mbele la sivyo unapisha nafasi. No stories, no excuses, just get it done.
Nimeona Makamu wa Rais amelalamika kwamba tunaagiza biskuti na sabuni nje. Akasema hilo ni kutumia fedha vibaya na kuwanyima Watanzania nafasi za kazi. Badala ya kuwapangia mawaziri husika KPI yeye akasema “nendeni mkalifanyie hilo kazi”. Those are not effective words. Nothing will happen.
Kuna hizi fedha za Uviko ambazo zimeelekezwa kwenye kujenga madarasa na vituo vya afya. Kutaja idadi ni mwanzo mzuri. Idadi halafu “nendeni mkalifanyie kazi” haitoshi. Rais na Waziri Mkuu wangepashwa kuagiza ma RC walete work plan za kila mkoa kufikia tarehe….. Na ma RC waagize DC kuleta GantChart ya utekelezaji wa ujenzi wa hayo madarasa 70 ya kila Jimbo kufikia tarehe…… na ma DC waagize kuletewa building plans za kila darasa na Watendaji kufikia tarehe…. etc.
Maneno ya kificho cha uvivu na uzembe (kama "mpango mkakati unaendelea" na "mchakato wa mpango mkakati" yakatazwe). Jiwe alikuwa na mapungufu yake lakini neno lake la “hapa kazi tu lilikuwa spot on”
Tumevurunda vya kutosha, sasa tuache maneno. Kama Makamu wa Rais anataka tuwe na viwanda vya biskuti na sabuni aache neno jepesi la “kalifanyieni kazi”. Aanze yeye kulifanyia kazi. Atoe DIRECTIVE nini hasa kifanyike na ni nani akifanye na kikamilike lini. Kila asiyeweza kufanikisha KPI zake aondoke tu, maana hakuna namna.
Maneno yangekuwa yanaleta maendeleo basi Waswahili wangekuwa wameendelea sana.
Naomba kumalizia kwa kuuliza: kuna mtu amewahi kuona GantChart ya ujenzi wa SGR au Bwabwa la Stiegler Gorge? Vinamalizika lini? Yaani hata Dar to Dodoma SGR bado treni haitembei? Si kuna umeme wake tayari, na sio kusubiri Stiegler Gorge? Tumechoka kuisikia hiyo SGR, sasa tunataka tuone treni ikitembea.
Huyu ndiyo alipaswa awepo bungeni siyo yale mazuzu yamejazanaUmeongea kitu cha maana sana mzee. Nimekuwa nikishangaa sana kuhusu hili jambo. Huwezi kumpa mtoto pipi halafu umwambie asilambe hiyo pipi. Lazima kuwepo na KPIs and benchmarks otherwise maelekrxo sijuhi ni ni useless
Lakini covid ilipita naye yeye mwenyeweJiwe aliamuru mtu yeyote ambaye hatakwenda site kwa sababu anaogopa Covid atimuliwe apelekwe mwingine. Covid haiwezi kuwa kisingizio kuchelewa kwa mradi wowote nchi hii.
Kisingizio sio kwetu bali kwa waletaji/waundaji (Countries had not been producing because of lockdowns) chi unajua zinatoka mashariki ya mbali ... .... .. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeJiwe aliamuru mtu yeyote ambaye hatakwenda site kwa sababu anaogopa Covid atimuliwe apelekwe mwingine. Covid haiwezi kuwa kisingizio kuchelewa kwa mradi wowote nchi hii.