Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Magufuli ni jembe.. mimi binafsi nikiwa hai nitaandamana kuomba aongezewe muda. Atawale miaka 20
Sie na akina nani? Maana uaandika as if unaqakilisha nchi nzima.Roosevelt alipoongoza Us kwa mafanikio kwenye Second World war aliongezewa vipindi vya kutawala, sie nani tukatae kwa JPM wakati kaweza kuidhibiti Corona kwa njia bora zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuma kimedhihirika hakitingishwi wala kufuata upepo, hili janga la Corona limetoa uelekea wa viwango vya kufikiri kwa Viongozi wa Mataifa. Muda kuongea ngoja tuoneBinafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi.
Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR Mageuzi kudhoofika, na CUF kupanda chati sikuvutia na CUF.
Baada ya CUF kukosa mvuto na CHADEMA kushika kasi nilijikuta tena moyo umehamia kuipenda CHADEMA. Kwa hiyo nahisi mimi nina damu ya upinzani.
Nikirudi kwenye hoja yangu ya msingi, tukiacha unafiki Rais Magufuli, kinyume na matarajio yangu amechukua njia sahihi kupambana na hili janga la corona.
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naona amekosea kutokufunga mipaka siku zile za mwanzo kabisa kabla ya corona haijaingia nchini. Lakini kwa sasa baada ya kuisoma vizuri hii corona, kufunga mipaka au lockdown sio suruhisho la kuidhibiti corona.
Kama corona ilianzia China tena kwenye mji mmoja tu wa Wuhan, na huenda labda ilianza kwa mtu mmoja tu lakini imeweza kusambaa kila kona ya dunia in less than one year. Kwa mantiki hiyo corona huwezi kuidhibiti kwa kufunga mipaka au lockdown. Narudia tena "kama mtu mmoja kutoka Wuhan ameweza kuisambaza corona dunia nzima basi korona haiwezi kudhibitiwa kwa kufunga mipaka wala lockdown".
Hata kama mtajifungia mwaka mzima corona haiwezi kuisha maana hata kama atabaki mtu mmoja mwenye corona dunia nzima na wengine wote wakapona bado mtarudi pale pale maana huyo mtu mmoja atawaambukiza tena kama yule wa Wuhan aliyeiambukiza dunia nzima.
Na uwezekano wa kufanya lockdown kwa watu wote ili kukata chain ya maambukizi ya Corona haiwezekani. Hivyo approach ya Rais Magufuli kwenye hili janga ni sahihi 100%.
Mkuu soma vizuri huu uzi. Let us try to be objective rather than being subjective. Kwa mtazamo wako, na kwa kuishirikisha akili yako at fully, unadhani Corona inaweza kuisha kwa kujifungia? Jaribu tu kuwaza jinsi ilivyoenea.Naona Praise Team 👆 aka MATAGA mmeutendea haki huu uzi!! Nawaona tu jinsi mlivyojipanga kumwaga pongezi na sifa kwa mwenyekiti wenu.
Mkuu hebu rudia kusoma tena uzi wangu.Vyeo, na viposho mnavyopatiwa vinawafanya muwe mazezeta. Endeleeni, Mungu hadhihakiwi.
Kabisa mkuu. Corona imetoa nafasi kwa viongozi kupima "upeo wao wa kufikiri"Chuma kimedhihirika hakitingishwi wala kufuata upepo, hili janga la Corona limetoa uelekea wa viwango vya kufikiri kwa Viongozi wa Mataifa. Muda kuongea ngoja tuone
Kama anaona wanaopongeza magufuli kwa upambanaji wanafaidi wewe mpongeze DJ kwa makusanyo mazuri ya ada za wabunge kilamwezi na kwenda kutumbua na vimada wake.Naona Praise Team [emoji115] aka MATAGA mmeutendea haki huu uzi!! Nawaona tu jinsi mlivyojipanga kumwaga pongezi na sifa kwa mwenyekiti wenu.
Ndo hivo MkuuKabisa mkuu. Corona imetoa nafasi kwa viongozi kupima "upeo wao wa kufikiri"
Magufuli hajui anachofanya, anaongea pumba tu.Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi.