Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,016
- 2,018
Yuko zake chimbo [emoji40][emoji40]
Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi.
Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR Mageuzi kudhoofika, na CUF kupanda chati sikuvutia na CUF.
Baada ya CUF kukosa mvuto na CHADEMA kushika kasi nilijikuta tena moyo umehamia kuipenda CHADEMA. Kwa hiyo nahisi mimi nina damu ya upinzani.
Nikirudi kwenye hoja yangu ya msingi, tukiacha unafiki Rais Magufuli, kinyume na matarajio yangu amechukua njia sahihi kupambana na hili janga la corona.
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naona amekosea kutokufunga mipaka siku zile za mwanzo kabisa kabla ya corona haijaingia nchini. Lakini kwa sasa baada ya kuisoma vizuri hii corona, kufunga mipaka au lockdown sio suruhisho la kuidhibiti corona.
Kama corona ilianzia China tena kwenye mji mmoja tu wa Wuhan, na huenda labda ilianza kwa mtu mmoja tu lakini imeweza kusambaa kila kona ya dunia in less than one year. Kwa mantiki hiyo corona huwezi kuidhibiti kwa kufunga mipaka au lockdown. Narudia tena "kama mtu mmoja kutoka Wuhan ameweza kuisambaza corona dunia nzima basi korona haiwezi kudhibitiwa kwa kufunga mipaka wala lockdown".
Hata kama mtajifungia mwaka mzima corona haiwezi kuisha maana hata kama atabaki mtu mmoja mwenye corona dunia nzima na wengine wote wakapona bado mtarudi pale pale maana huyo mtu mmoja atawaambukiza tena kama yule wa Wuhan aliyeiambukiza dunia nzima.
Na uwezekano wa kufanya lockdown kwa watu wote ili kukata chain ya maambukizi ya Corona haiwezekani. Hivyo approach ya Rais Magufuli kwenye hili janga ni sahihi 100%.
Mkuu soma vizuri huu uzi. Let us try to be objective rather than being subjective. Kwa mtazamo wako, na kwa kuishirikisha akili yako at fully, unadhani Corona inaweza kuisha kwa kujifungia? Jaribu tu kuwaza jinsi ilivyoenea.
Swali fikirishi je vipimo vitakuwa wapi kuwapima hao wanafunzi covid-19Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi.
Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR Mageuzi kudhoofika, na CUF kupanda chati sikuvutia na CUF.
Baada ya CUF kukosa mvuto na CHADEMA kushika kasi nilijikuta tena moyo umehamia kuipenda CHADEMA. Kwa hiyo nahisi mimi nina damu ya upinzani.
Nikirudi kwenye hoja yangu ya msingi, tukiacha unafiki Rais Magufuli, kinyume na matarajio yangu amechukua njia sahihi kupambana na hili janga la corona.
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naona amekosea kutokufunga mipaka siku zile za mwanzo kabisa kabla ya corona haijaingia nchini. Lakini kwa sasa baada ya kuisoma vizuri hii corona, kufunga mipaka au lockdown sio suruhisho la kuidhibiti corona.
Kama corona ilianzia China tena kwenye mji mmoja tu wa Wuhan, na huenda labda ilianza kwa mtu mmoja tu lakini imeweza kusambaa kila kona ya dunia in less than one year. Kwa mantiki hiyo corona huwezi kuidhibiti kwa kufunga mipaka au lockdown. Narudia tena "kama mtu mmoja kutoka Wuhan ameweza kuisambaza corona dunia nzima basi korona haiwezi kudhibitiwa kwa kufunga mipaka wala lockdown".
Hata kama mtajifungia mwaka mzima corona haiwezi kuisha maana hata kama atabaki mtu mmoja mwenye corona dunia nzima na wengine wote wakapona bado mtarudi pale pale maana huyo mtu mmoja atawaambukiza tena kama yule wa Wuhan aliyeiambukiza dunia nzima.
Na uwezekano wa kufanya lockdown kwa watu wote ili kukata chain ya maambukizi ya Corona haiwezekani. Hivyo approach ya Rais Magufuli kwenye hili janga ni sahihi 100%.
Dada angu Sky Eclat kwa mtazamo wangu, ukiachilia swala la kutokutoa takwimu za maambukizi, ukijaribu kuitafakari corona kwa umakini utagundua kuwa kufunga mikapa au lockdown sio mwarobaini wake. Hata kama angefunga mipaka kipindi kabla Corona haijaingia nchini, unadhani angeweza kufunga milele? Kama conora ilianzia kwenye mji mmoja duniani lakini imekuwa out of control na kusambaa dunia nzima, itawezekanaje kuidhibiti ilihali kwa sasa ipo dunia nzima? Hakuna nchi itakayoweza kukata chain ya corona hata kama watajilockdown kwa mwaka mzima kwa sababu kuna taalumu zingine haziwezi kujilock down. Kuna madaktari, manesi, polisi lazima waende kazini, maana yake hata wengine wote mtajilock down na mkapona corona hao wachache ambao hawezi kujifungia kwa sababu ya taaluma zao watawaambukiza punde tu mkitoka nje. Kwa hiyo Magufuli hata kama angefunga mipaka asingeweza kuifunga miaka yote maana bila kupatikana dawa ya corona hakutatokea kipindi corona itaisha duniani. Nikirudi kwenye swali lako la kutokutoa takwimu za corona: ukiangalia kwa juu juu unaweza kudhani takwimu ni muhimu katika kupambana na Corona lakini ukiangalia kwa jicho la tatu unaona takwimu nazo ni meaningless. Unadhani takwimu hata tukipewa zitasaidia nini? Of course zinaweza kuwafanya watu kuendelea kuogopa na kuchukua hatua zaidi za kujikinga, swali ni kwamba utaweza kujikinga miaka yote kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono? Kuna siku utajisahau utagusa pua, mdomo na macho na utapata corona ilihali umejitahidi kuchukua taahadhari zote. Point yangu ni kwamba takwimu ni muhimu lakini at the end of day hazisaidii maana corona haiwezi kuisha kwa kutoa takwimu.Msukuma Original unaona ilikuwa sahihi kusitisha vipimo vya maabara na kuacha kutoa takwimu za ugonjwa za kila siku? Kama kulikuwa na hitilafu ya vipimo vya maabara ni kwanini havikuletwa vipimo sahihi haraka?
Akiwa kama amiri jeshi mkuu nini kinamfanya apigane vita ya corona akiwa Chato?
Historia ya kuanzishwa kwa Afya ya Jamii (Public Health) ilitokana na vifo 616 vilivyotokea London sababu ya cholera.Dada angu Sky Eclat kwa mtazamo wangu, ukiachilia swala la kutokutoa takwimu za maambukizi, ukijaribu kuitafakari corona kwa umakini utagundua kuwa kufunga mikapa au lockdown sio mwarobaini wake. Hata kama angefunga mipaka kipindi kabla Corona haijaingia nchini, unadhani angeweza kufunga milele? Kama conora ilianzia kwenye mji mmoja duniani lakini imekuwa out of control na kusambaa dunia nzima, itawezekanaje kuidhibiti ilihali kwa sasa ipo dunia nzima? Hakuna nchi itakayoweza kukata chain ya corona hata kama watajilockdown kwa mwaka mzima kwa sababu kuna taalumu zingine haziwezi kujilock down. Kuna madaktari, manesi, polisi lazima waende kazini, maana yake hata wengine wote mtajilock down na mkapona corona hao wachache ambao hawezi kujifungia kwa sababu ya taaluma zao watawaambukiza punde tu mkitoka nje. Kwa hiyo Magufuli hata kama angefunga mipaka asingeweza kuifunga miaka yote maana bila kupatikana dawa ya corona hakutatokea kipindi corona itaisha duniani. Nikirudi kwenye wali lako la kutokutoa takwimu za corona: ukiangalia kwa juu juu unaweza kudhani takwimu ni muhimu katika kupambana na Corona lakini ukiangalia kwa jicho la tatu unaona takwimu nazo ni meaningless. Unadhani takwimu hata tukipewa zitasaidia nini? Of course zinaweza kuwafanya watu kuendelea kuogopa na kuchukua hatua zaidi za kujikinga, swali ni kwamba utaweza kujikinga miaka yote kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono? Kuna siku utajisahau utagusa pua, mdomo na macho na utapata corona ilihali umejitahidi kuchukua taahadhari zote. Point yangu ni kwamba takwimu ni muhimu lakini at the end of day hazisaidii maana corona haiwezi kuisha kwa kutoa takwimu.
Binafsi swala la kutoa data sio muhimu sana kama nilivyojaribu kukujibu hapo juu. Of course Magufuli ana mapungufu yake lakini swala la kutokutoa data haliwezi kumdiscredit kwa approach aliyoichukua kupambana na Corona. Halafu kuna kitu nimejaribu kukiwaza: huenda kuna mambo mazito nyuma ya hii corona ambayo sisi raia wa kawaida hatuyajui lakini yeye kama mkuu wa nchi mwenye kila source ya information anayajua. Hivyo maamuzi mengine anayoyafanya yanaweza kuonekana kwetu sisi (raia wa kawaida) hayana tija lakini kwake yeye yapo very calculated and very informative. Kama nilivyoelezea kwenye bandiko langu, hata mimi nilikuwa namuona jamaa ameamua kututoa sadaka pale alipokataa kufunga mipaka kabla Corona haijaingia. Lakini sasa hivi nimeshapata jibu kwa nini hakufunga mipaka na kwa nini hataki lockdown.Historia ya kuanzishwa kwa Afya ya Jamii (Public Health) ilitokana na vifo 616 vilivyotokea London sababu ya cholera.
Baada ya hapo madaktari na wanasiasa kwa pamoja waliamua kubuni mbinu za kutibu na kuzuia.
Data ni muhimu kwa kusaidia tafiti,kuielewesha jumuia ya kimataifa uzito wa tatizo, kusaidia pia watoto wetu kujifunza huko baadae kama nilivyojifunza vifo 616 vya cholera London.
Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi.
Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR Mageuzi kudhoofika, na CUF kupanda chati sikuvutia na CUF.
Baada ya CUF kukosa mvuto na CHADEMA kushika kasi nilijikuta tena moyo umehamia kuipenda CHADEMA. Kwa hiyo nahisi mimi nina damu ya upinzani.
Nikirudi kwenye hoja yangu ya msingi, tukiacha unafiki Rais Magufuli, kinyume na matarajio yangu amechukua njia sahihi kupambana na hili janga la corona.
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naona amekosea kutokufunga mipaka siku zile za mwanzo kabisa kabla ya corona haijaingia nchini. Lakini kwa sasa baada ya kuisoma vizuri hii corona, kufunga mipaka au lockdown sio suruhisho la kuidhibiti corona.
Kama corona ilianzia China tena kwenye mji mmoja tu wa Wuhan, na huenda labda ilianza kwa mtu mmoja tu lakini imeweza kusambaa kila kona ya dunia in less than one year. Kwa mantiki hiyo corona huwezi kuidhibiti kwa kufunga mipaka au lockdown. Narudia tena "kama mtu mmoja kutoka Wuhan ameweza kuisambaza corona dunia nzima basi korona haiwezi kudhibitiwa kwa kufunga mipaka wala lockdown".
Hata kama mtajifungia mwaka mzima corona haiwezi kuisha maana hata kama atabaki mtu mmoja mwenye corona dunia nzima na wengine wote wakapona bado mtarudi pale pale maana huyo mtu mmoja atawaambukiza tena kama yule wa Wuhan aliyeiambukiza dunia nzima.
Na uwezekano wa kufanya lockdown kwa watu wote ili kukata chain ya maambukizi ya Corona haiwezekani. Hivyo approach ya Rais Magufuli kwenye hili janga ni sahihi 100%.
Binafsi swala la kutoa data sio muhimu sana kama nilivyojaribu kukujibu hapo juu. Of course Magufuli ana mapungufu yake lakini swala la kutokutoa data haliwezi kumdiscredit kwa approach aliyoichukua kupambana na Corona. Halafu kuna kitu nimejaribu kukiwaza: huenda kuna mambo mazito nyuma ya hii corona ambayo sisi raia wa kawaida hatuyajui lakini yeye kama mkuu wa nchi mwenye kila source ya information anayajua. Hivyo maamuzi mengine anayoyafanya yanaweza kuonekana kwetu sisi (raia wa kawaida) hayana tija lakini kwake yeye yapo very calculated and very informative. Kama nilivyoelezea kwenye bandiko langu, hata mimi nilikuwa namuona jamaa ameamua kututoa sadaka pale alipokataa kufunga mipaka kabla Corona haijaingia. Lakini sasa hivi nimeshapata jibu kwa nini hakufunga mipaka na kwa nini hataki lockdown.