johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bora tutengani au wakubali kuwa mkoa, tuwe na serikali moja tuMtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.
Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.
Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Umenena! Wakubali kuwa sawa na mkoa wa Katavi ili twende sawaBora tutengani au wakubali kuwa mkoa, tuwe na serikali moja tu
Yani Watawala wanafanyaga mambo mengine ya hovyo sana kisa tu Watanganyika ni malimbukeni,hilo swala la Makame Mbalawa kuwa Waziri wa Maji na ujenzi huku hizo Wizara sio za Muungano ni kitu ambacho kilikuwa na ukakasi sana.Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano.
Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo.
Nadhani tumeelewana.
Ramadhan kareem!
Hakuna Muungano wa watu wawili kuwa wawili.Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.
Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.
Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Nyerere alikosea jambo moja tu alitakiwa kuanzisha mpango mkakati wa kuhakikisha wanaume wote wa Zanzibar wanaoa tanzania bara na wanawake wa Zanzibar wote wanaolewa Tanzania bara huu uzanzibar ungekuwa umeshaisha mpaka sasa lakini walikubali kuvaa koti lenye kunguni kila siku wanakutafuna tu na kujificha kwenye koti lao.Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.
Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.
Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Mwinyi Mtanganyika anamiliki ardhi na alikuwa raisi wa Zanzíbar kabla ya Muungano.Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.
Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.
Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Mwinyi baba bara na mama Zanzíbar (Mzee Mwinyi na uraisi kapata Zanzíbar ilhali ni mtu wa bara).Yani Watawala wanafanyaga mambo mengine ya hovyo sana kisa tu Watanganyika ni malimbukeni,hilo swala la Makame Mbalawa kuwa Waziri wa Maji na ujenzi huku hizo Wizara sio za Muungano ni kitu ambacho kilikuwa na ukakasi sana.
Hata kipindi kile Hussein Mwinyi Mzanzibar lakini anakuwa Mbunge wa Mkurunga-Tanganyika,sasa kimbembe wewe Mtanganyika nenda ugombee uwakilishi huko Makunduchi uone.
Hapa unafurahisha genge tu mkuu. Mm nimeishi sana Fuoni na Mpendae baadaye nikamalizia Saaten. Ninajua ninachosema.Mwinyi Mtanganyika anamiliki ardhi na alikuwa raisi wa Zanzíbar kabla ya Muungano.
Jumbe Mtanganyika anamiliki ardhi (kabla ya kifo chake) na alikuwa raisi wa Zanzíbar.
Mimi Mtanganyika nipo Zanzíbar namiliki ardhi (nyumba moja na kijishamba) na maisha yanakwenda.
Fuatilia historia zao !! Je ulishawahi kufika Ndagaa (kuna Wanyamwezi kama Unyamwezini) ? Dunga (kuna Wamakomde kuliko kusini) ?Hapa unafurahisha genge tu mkuu. Mm nimeishi sana Fuoni na Mpendae baadaye nikamalizia Saaten. Ninajua ninachosema.
Hao jumbe na Mwinyi ni wazanzibari kwahiyo wanafaidika na muungano. Lkn wewe mmbara kupata kijishamba Zanzibar haiwezekani katu.
Acheeni zenu! Sema mnachekea tumboni tu ili wabara tusishtuke! Na hatuhitaji kushtuka!Zanzibar tumepigwa vizur tu..🤣
Mtanganyika ndio nani bwashee?Yani Watawala wanafanyaga mambo mengine ya hovyo sana kisa tu Watanganyika ni malimbukeni,hilo swala la Makame Mbalawa kuwa Waziri wa Maji na ujenzi huku hizo Wizara sio za Muungano ni kitu ambacho kilikuwa na ukakasi sana.
Hata kipindi kile Hussein Mwinyi Mzanzibar lakini anakuwa Mbunge wa Mkurunga-Tanganyika,sasa kimbembe wewe Mtanganyika nenda ugombee uwakilishi huko Makunduchi uone.