Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano.

Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo.

Nadhani tumeelewana.

Ramadhan kareem!
 
Hili dubwana sijui muungano lina shida sana sana, unaambiwa sijui nyie wabara msije kununua aridhi huku, kisa aridhi yetu ndogo kisiwa kitazama 😁, mara ooh msinunue bidhaa unguja sababu wao kodi iko chini, mara oooh uje na kitambulisho vinginevyo utarudia bandarini!.

Sasa kero za muungano ndiyo zimelalia kwa ndg zake Tanganyika tu ila unguja na pemba NO..!

IMG_20210427_215655.jpg
 
Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.

Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.

Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
 
Bora tutengani au wakubali kuwa mkoa, tuwe na serikali moja tu
 
Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano.

Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo.

Nadhani tumeelewana.

Ramadhan kareem!
Yani Watawala wanafanyaga mambo mengine ya hovyo sana kisa tu Watanganyika ni malimbukeni,hilo swala la Makame Mbalawa kuwa Waziri wa Maji na ujenzi huku hizo Wizara sio za Muungano ni kitu ambacho kilikuwa na ukakasi sana.

Hata kipindi kile Hussein Mwinyi Mzanzibar lakini anakuwa Mbunge wa Mkurunga-Tanganyika,sasa kimbembe wewe Mtanganyika nenda ugombee uwakilishi huko Makunduchi uone.
 
Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.

Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.

Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Hakuna Muungano wa watu wawili kuwa wawili.
 
Hamna shida, hiyo ni mikoa miwili iliyo kwenye JMT ndio maana huwa tunawateulia Rais.
 
Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.

Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.

Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Nyerere alikosea jambo moja tu alitakiwa kuanzisha mpango mkakati wa kuhakikisha wanaume wote wa Zanzibar wanaoa tanzania bara na wanawake wa Zanzibar wote wanaolewa Tanzania bara huu uzanzibar ungekuwa umeshaisha mpaka sasa lakini walikubali kuvaa koti lenye kunguni kila siku wanakutafuna tu na kujificha kwenye koti lao.
 
Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.

Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.

Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Mwinyi Mtanganyika anamiliki ardhi na alikuwa raisi wa Zanzíbar kabla ya Muungano.
Jumbe Mtanganyika anamiliki ardhi (kabla ya kifo chake) na alikuwa raisi wa Zanzíbar.
Mimi Mtanganyika nipo Zanzíbar namiliki ardhi (nyumba moja na kijishamba) na maisha yanakwenda.
 
Yani Watawala wanafanyaga mambo mengine ya hovyo sana kisa tu Watanganyika ni malimbukeni,hilo swala la Makame Mbalawa kuwa Waziri wa Maji na ujenzi huku hizo Wizara sio za Muungano ni kitu ambacho kilikuwa na ukakasi sana.

Hata kipindi kile Hussein Mwinyi Mzanzibar lakini anakuwa Mbunge wa Mkurunga-Tanganyika,sasa kimbembe wewe Mtanganyika nenda ugombee uwakilishi huko Makunduchi uone.
Mwinyi baba bara na mama Zanzíbar (Mzee Mwinyi na uraisi kapata Zanzíbar ilhali ni mtu wa bara).
Fuatilia mambo kabla ya kusema mkuu.
 
Mwinyi Mtanganyika anamiliki ardhi na alikuwa raisi wa Zanzíbar kabla ya Muungano.
Jumbe Mtanganyika anamiliki ardhi (kabla ya kifo chake) na alikuwa raisi wa Zanzíbar.
Mimi Mtanganyika nipo Zanzíbar namiliki ardhi (nyumba moja na kijishamba) na maisha yanakwenda.
Hapa unafurahisha genge tu mkuu. Mm nimeishi sana Fuoni na Mpendae baadaye nikamalizia Saaten. Ninajua ninachosema.

Hao jumbe na Mwinyi ni wazanzibari kwahiyo wanafaidika na muungano. Lkn wewe mmbara kupata kijishamba Zanzibar haiwezekani katu.
 
Fuatilia historia zao !! Je ulishawahi kufika Ndagaa (kuna Wanyamwezi kama Unyamwezini) ? Dunga (kuna Wamakomde kuliko kusini) ?
Sasa kama wewe unasema hivyo sawa, ila Mimi ninavyo mkuu.
Soma bandiko, utajua Mwinyi ni nani.
Wapo masheha Wabara, Salama Masinga diwani wa Kinuni (tupo wengi sana pia Kinuni) kwa mjini Jang'ombe (Waluguru) na Miembeni kidogo.....
Je unataka kuniambia yale makanisa yanochipukia kama uyoga , Mali ya nani ? Zanzíbar kuna Wakristo wengi kiivyo ? Tunalishana matango pori mno. Karibu Nungwi napiga mshiko siku za utalii.

Screenshot_2021-04-27-23-46-25-823_org.mozilla.firefox.jpg
 
Yani Watawala wanafanyaga mambo mengine ya hovyo sana kisa tu Watanganyika ni malimbukeni,hilo swala la Makame Mbalawa kuwa Waziri wa Maji na ujenzi huku hizo Wizara sio za Muungano ni kitu ambacho kilikuwa na ukakasi sana.

Hata kipindi kile Hussein Mwinyi Mzanzibar lakini anakuwa Mbunge wa Mkurunga-Tanganyika,sasa kimbembe wewe Mtanganyika nenda ugombee uwakilishi huko Makunduchi uone.
Mtanganyika ndio nani bwashee?
 
Back
Top Bottom