Zanzibar walipoteza uraia wao lakini wakabaki na utaifa wao!Mimi nadhani njia nzuri ya kuulinda muungano wetu ni kuunda nchi moja na serikali moja (Tanzania) hapo hizi kero litakuwa zimekwisha.
USA ni muunganiko wa zaidi ya Mataifa 50 na hakuna tatizo la muungano wao sababu nchi zote zilizoungana zilikubali kupoteza uraiya wake
Yaani wewe source ya taarifa zako ni WikipediaFuatilia historia zao !! Je ulishawahi kufika Ndagaa (kuna Wanyamwezi kama Unyamwezini) ? Dunga (kuna Wamakomde kuliko kusini) ?
Sasa kama wewe unasema hivyo sawa, ila Mimi ninavyo mkuu.
Soma bandiko, utajua Mwinyi ni nani.
Wapo masheha Wabara, Salama Masinga diwani wa Kinuni (tupo wengi sana pia Kinuni) kwa mjini Jang'ombe (Waluguru) na Miembeni kidogo.....
Je unataka kuniambia yale makanisa yanochipukia kama uyoga , Mali ya nani ? Zanzíbar kuna Wakristo wengi kiivyo ? Tunalishana matango pori mno. Karibu Nungwi napiga mshiko siku za utalii.
View attachment 1765964
Nalijua hilo ila Mwinyi (Mzee Rukhsa), Jumbe wote sio Wazenji na Walitawala kule. Hata Karume baba si Mzenji...Yaani wewe source ya taarifa zako ni Wikipedia
Mkuu siku nyingine usitumie Wikipedia kama source ya taarifa zako maana uko taarifa inaweza kuhaririwa na mtu yeyote muda wowote
Uraia ni wa JAMHURI, hamna raia wa Zanzíbar n.k (ndio maana paspoti moja tu). Au ndo itakuwa ya Salim Ahmed Salim, alipokuwa OAU alikuwa Mtanzania na tulijisifu, ila alipotaka kugombea uraisi zikapikwa fitina za mwarabu, Mzanzibari n.k (historia hujirudia, na huyu mamá nahisi atakuwa kama Mwinyi alivyochukua madaraka kutoka kwa Nyerere) muda utasema.Mimi nadhani njia nzuri ya kuulinda muungano wetu ni kuunda nchi moja na serikali moja (Tanzania) hapo hizi kero litakuwa zimekwisha.
USA ni muunganiko wa zaidi ya Mataifa 50 na hakuna tatizo la muungano wao sababu nchi zote zilizoungana zilikubali kupoteza uraiya wake
Mbebano huuMtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.
Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.
Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Hata sasa Inawezekana wakiamuaNyerere alikosea jambo moja tu alitakiwa kuanzisha mpango mkakati wa kuhakikisha wanaume wote wa Zanzibar wanaoa tanzania bara na wanawake wa Zanzibar wote wanaolewa Tanzania bara huu uzanzibar ungekuwa umeshaisha mpaka sasa lakini walikubali kuvaa koti lenye kunguni kila siku wanakutafuna tu na kujificha kwenye koti lao.
Mbona kama ndiyo matoka usingizini?Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.
Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.
Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.
Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Siyo wanatamani, tulikuwa tukienda kwa pasport,wanatamani tungekua tunasafiri kwenda zanzibar kwa passport