Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

Mimi nadhani njia nzuri ya kuulinda muungano wetu ni kuunda nchi moja na serikali moja (Tanzania) hapo hizi kero litakuwa zimekwisha.

USA ni muunganiko wa zaidi ya Mataifa 50 na hakuna tatizo la muungano wao sababu nchi zote zilizoungana zilikubali kupoteza uraiya wake
 
Zanzibar walipoteza uraia wao lakini wakabaki na utaifa wao!
 
Bunge ni la muungano?
Mbona Spika na Naibu wake wote wanatoka bara??
 
Fuatilia historia zao !! Je ulishawahi kufika Ndagaa (kuna Wanyamwezi kama Unyamwezini) ? Dunga (kuna Wamakomde kuliko kusini) ?
Sasa kama wewe unasema hivyo sawa, ila Mimi ninavyo mkuu.
Soma bandiko, utajua Mwinyi ni nani.
Wapo masheha Wabara, Salama Masinga diwani wa Kinuni (tupo wengi sana pia Kinuni) kwa mjini Jang'ombe (Waluguru) na Miembeni kidogo.....
Je unataka kuniambia yale makanisa yanochipukia kama uyoga , Mali ya nani ? Zanzíbar kuna Wakristo wengi kiivyo ? Tunalishana matango pori mno. Karibu Nungwi napiga mshiko siku za utalii.

View attachment 1765964
Yaani wewe source ya taarifa zako ni Wikipedia

Mkuu siku nyingine usitumie Wikipedia kama source ya taarifa zako maana uko taarifa inaweza kuhaririwa na mtu yeyote muda wowote
 
Yaani wewe source ya taarifa zako ni Wikipedia

Mkuu siku nyingine usitumie Wikipedia kama source ya taarifa zako maana uko taarifa inaweza kuhaririwa na mtu yeyote muda wowote
Nalijua hilo ila Mwinyi (Mzee Rukhsa), Jumbe wote sio Wazenji na Walitawala kule. Hata Karume baba si Mzenji...

Mbona zinajulikana historia hizo.
 
Mimi nadhani njia nzuri ya kuulinda muungano wetu ni kuunda nchi moja na serikali moja (Tanzania) hapo hizi kero litakuwa zimekwisha.

USA ni muunganiko wa zaidi ya Mataifa 50 na hakuna tatizo la muungano wao sababu nchi zote zilizoungana zilikubali kupoteza uraiya wake
Uraia ni wa JAMHURI, hamna raia wa Zanzíbar n.k (ndio maana paspoti moja tu). Au ndo itakuwa ya Salim Ahmed Salim, alipokuwa OAU alikuwa Mtanzania na tulijisifu, ila alipotaka kugombea uraisi zikapikwa fitina za mwarabu, Mzanzibari n.k (historia hujirudia, na huyu mamá nahisi atakuwa kama Mwinyi alivyochukua madaraka kutoka kwa Nyerere) muda utasema.
Marekani wana majimbo na kila jimbo Lina sheria zake tofauti ,
Mengine bangi halali na mengine wanakataza na pia kuna serikali kuu ya shirikisho .....
 
Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.

Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.

Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Mbebano huu
 
Nyerere alikosea jambo moja tu alitakiwa kuanzisha mpango mkakati wa kuhakikisha wanaume wote wa Zanzibar wanaoa tanzania bara na wanawake wa Zanzibar wote wanaolewa Tanzania bara huu uzanzibar ungekuwa umeshaisha mpaka sasa lakini walikubali kuvaa koti lenye kunguni kila siku wanakutafuna tu na kujificha kwenye koti lao.
Hata sasa Inawezekana wakiamua
 
Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kupata mkopo wa elimu ya juu Zanzibar marufuku.

Mtanganyika kuteuliwa nafasi yoyote ya uongozi ama kuomba nafasi yoyote ya kazi Zanzibar marufuku.

Lakini hayo yote kwa mzanzibari kuyapata Tanganyika ruksa.

Mtanganyika tafakari. Huu ni muungano ama kitu gani???
Mbona kama ndiyo matoka usingizini?
 
Back
Top Bottom