Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Kusema ukweli huyu aliishatabiliwa kuuwa kwa sumu, na ikishindikanika akizomewa presha itapanda na atakufa.
Je angetangaza kutogombea angezomewa na nani? Msomaji, utasema walio mzomea ndio walio mpigia kura jibu ni hapana ukitaka ukweli karudie kuhesabi kura uone ukweli KIMSINGI hakushinda ila ALISHINDWA kwenye Boksi la kura maana wakati kura zinapigwa nalo LILIKUWA kinapiga kura.
Nataka niseme waliombemba Hamisi Kigwangallah begani wakimjaza kiburi ndio walio mtahili bila ganzi.
MLIO karibu nae mwambie anywe maji kuna maisha nje ya siasa
Waliomuua ni walio mzomea