Kwenye serikali yetu nadhani age doesn't matter na ndo maana unakuta mstaafu anateuliwa tena,wakati alitakiwa apumzike.Hamisi kijana ila hawa wazee wangeachana na mambo ya siasa mapema ; kwanza miaka 60 na kuendelea wakiongea ujinga wanazidi kudharaulika ...Miaka hiyo wanakuwa kwenye wingi la presha .
Mwanaume mzima unakalia kitu chenye ncha na Bado uko komfotabo!! Nimeamini CCM inaharibu vijana
CIA wa Bongo mmeingia kazini 😂 kila mtu na story yake ilimradi tuu nae amebwabwaja
Mke wake anafaidi sana Urithi Wa Muda mrefu mali nyingi, fedha nyingi.Kusema ukweli huyu aliishatabiliwa kuuwa kwa sumu, na ikishindikanika akizomewa presha itapanda na atakufa
Je angetangaza kutogombea angezomewa na nani? Msomaji.utasema walio mzomea ndio walio mpigia kura jibu ni hapana ukitaka ukweli karudie kuhesabi kura uone ukweli KIMSINGI hakushinda ila ALISHINDWA kwenye Bokisa la kura maana wakati kura zinapigwa nalo LILIKUWA kinapiga kura
Nataka niseme waliombemba Hamisi kigwangara begano wakimjaza kiburi ndio walio mtaili bira ganzi.
MLIO karibu nae mwambie anywe maji Kuna maisha nje ya siasa
Waliomuua ni walio mzomea
Balaa.Naam, na ndo uhuru wa maoni
View attachment 3434512
Siasa kitu hatari sana