Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Tukisema yanga alikuwa na easy way to the Final tafsiri yake bado tunarudisha heshima kwa Yanga, yaani tunaamini Yanga hakukutana na wakubwa wenzie wakumpa challenge, tunaamini Yanga ni bora sana kuliko aliocheza nao.
Ukitaka tusiseme hivi tafsiri yake Yanga uwezo wake na ubora wake si kama Top wa South (Mamelody, Kaizer Chief) bali ni sawa na mshuka daraja Marumo, ukitaka tusiseme easy way tafsiri yake Yanga hana uwezo wa kucheza na Ahly, Wydad, Raja,kaizer, Mamelody na wengineo ndio maana akaenda kucheza na wa level yake Rivers United.
Kwa mashabiki wote wa soka nchini wote kwa peak aliyoifikia Yanga msimu huu tulitamani kuona akicheza na Mamelody, Ahly, Kaizer, Wydad, na Raja that's why we claim that it was an easy pass na hatutabadili misimamo yetu kama wapenzi wa soka (nimejiondoa kwenye usimba) na huu kwangu mimi ndio ukweli.