Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yale mafanikio ya kipindi cha corona walijiona washafika kumbe hamna loloteUkubwa wa Afrika unamaanisha Nini? Easy way to? Are you sure?. Kwa ukubwa a Simba easy way to NBC champion. Nasemajeeeeeeeeee Simba kakutana na easy way to champion, NBC LA KWAKEE
Yanga hata kama angemfunga al ahly kwa chuki yako ungeiita garasa,ok cacc Yanga mpaka anafika hatua ile alikutana na vibonde na huku kwenye fa ulipofungwa na azam nako ilikuaje?Garasa huyo
Huo ndio ukweli mkuuHahahaha kwamba simba ili take advantage ya corona???
Hapana Mkuu sina chuki na yanga but nilitamani kumuona akicheza na wakubwa zaidi ya hao ili ni evaluate kisoka kusini mwa jangwa la sahara tumefikia point ipi hususani simba na yangaYanga hata kama angemfunga al ahly kwa chuki yako ungeiita garasa,ok cacc Yanga mpaka anafika hatua ile alikutana na vibonde na huku kwenye fa ulipofungwa na azam nako ilikuaje?
Wanataka tuwe tunawasifia Kila siku tu. Things change... Ukubwa wa simba Kwa majimaji na mtibwa sio Azam Wala yanga. Sio Kwa yanga mana alichoweza kufanya yanga Simba karne hii yote haweZMkuu yale mafanikio ya kipindi cha corona walijiona washafika kumbe hamna lolote
Case closed.hii issue naona Kila mtu anavutia upande wake kilichobaki simba leteni kombe mmalize ubishi maana ukubwa wenu upo midomoni tu
Simba tena ambayo Haina hata kikombe Cha kunywea kahawa,Waje hapa watuambie ile Club ya uzaramuni Marumo na wabovu wenzake kina Rivers, USM ALGER ni nani kati ya hao utafananisha na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Simba, na Mamelody?
Ongezea Nyasa big bullet 😁Utahira mwingine unakera hebu tuambie Simba imefika robo fainali kwakucheza na timu zipi zisizo dhaifu?
Horoya
Vipers
Raja kakukanda nje ndani.
Muomgezee na Asec Mimosas ambae ni bingwa wa Ivory coastFirst leg
USM ALGER 2-0 AS FAR RABAT
Sec leg
ASFAR RABAT 3-2 USM ALGER
First leg
PYRAMID 1-1 MARUMO GALLANTS
Sec Leg
MARUMO 1-0 PYRAMIDS
BOTOLA PRO.
1. AS FAR RABAT
2. WYDAD
3.
4.
5.
6. RAJA CASABLANCA
Eti kucheza robo kila sikuHuyu mwanga tu aka kigaguraaa aka winchi aka undimbo.. mapenzi yako mbele kuliko uelewa. Bado anaona Simba timu kubwa hapo kakariri tu... Anaish na chuki zisizo na sababu. Muulize sasa ukubwa wa simba uko kwenye Nini?
Huku alikutana na giant mwenzake AzamYanga hata kama angemfunga al ahly kwa chuki yako ungeiita garasa,ok cacc Yanga mpaka anafika hatua ile alikutana na vibonde na huku kwenye fa ulipofungwa na azam nako ilikuaje?
Kolo msimu huu unakikombe Gani au unajisahualishaHiana kikombe gani ambacho yanga anacho, yaani kikombe yanga kachukua simba hajawahi chukua??