Kusema Yanga walipata mteremko Fainali sio kwamba ni chuki dhidi yao

Kusema Yanga walipata mteremko Fainali sio kwamba ni chuki dhidi yao

Ukubwa wa Afrika unamaanisha Nini? Easy way to? Are you sure?. Kwa ukubwa a Simba easy way to NBC champion. Nasemajeeeeeeeeee Simba kakutana na easy way to champion, NBC LA KWAKEE
Mkuu yale mafanikio ya kipindi cha corona walijiona washafika kumbe hamna lolote
 
Yanga hata kama angemfunga al ahly kwa chuki yako ungeiita garasa,ok cacc Yanga mpaka anafika hatua ile alikutana na vibonde na huku kwenye fa ulipofungwa na azam nako ilikuaje?
Hapana Mkuu sina chuki na yanga but nilitamani kumuona akicheza na wakubwa zaidi ya hao ili ni evaluate kisoka kusini mwa jangwa la sahara tumefikia point ipi hususani simba na yanga
 
safari hi mtasema yote
Na kama hamna masemo basi hamna radha ya mpira....raha ya ushabiki inasindikizwa na maneno Mkuu sometimes majigambo pia though sio vyote visemwavyo ni kweli au uongo ila ndio ushabiki
 
Mkuu yale mafanikio ya kipindi cha corona walijiona washafika kumbe hamna lolote
Wanataka tuwe tunawasifia Kila siku tu. Things change... Ukubwa wa simba Kwa majimaji na mtibwa sio Azam Wala yanga. Sio Kwa yanga mana alichoweza kufanya yanga Simba karne hii yote haweZ
 
Waje hapa watuambie ile Club ya uzaramuni Marumo na wabovu wenzake kina Rivers, USM ALGER ni nani kati ya hao utafananisha na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Simba, na Mamelody?
Simba tena ambayo Haina hata kikombe Cha kunywea kahawa,
Simba ni timu iliyofeli
 
Utahira mwingine unakera hebu tuambie Simba imefika robo fainali kwakucheza na timu zipi zisizo dhaifu?

Horoya
Vipers
Raja kakukanda nje ndani.
Ongezea Nyasa big bullet 😁
 
First leg
USM ALGER 2-0 AS FAR RABAT

Sec leg
ASFAR RABAT 3-2 USM ALGER

First leg
PYRAMID 1-1 MARUMO GALLANTS

Sec Leg
MARUMO 1-0 PYRAMIDS

BOTOLA PRO.
1. AS FAR RABAT
2. WYDAD
3.
4.
5.
6. RAJA CASABLANCA
Muomgezee na Asec Mimosas ambae ni bingwa wa Ivory coast
Anajisahaulisha kua kabatuliwa na Raja nje ndani ambae yuko nafasi ya sita
 
Huyu mwanga tu aka kigaguraaa aka winchi aka undimbo.. mapenzi yako mbele kuliko uelewa. Bado anaona Simba timu kubwa hapo kakariri tu... Anaish na chuki zisizo na sababu. Muulize sasa ukubwa wa simba uko kwenye Nini?
Eti kucheza robo kila siku
Akienda confederation anaishia robo
Akija champions league anaishia robo ila anajiona mkubwa
 
Simba tena ambayo Haina hata kikombe Cha kunywea kahawa,
Simba ni timu iliyofeli
Hiana kikombe gani ambacho yanga anacho, yaani kikombe yanga kachukua simba hajawahi chukua??
 
Mungechukua kombe kiroho safi mngekuwa na point kwakweli ya kusikilizwa, vingenevyo ni Croatia na ureno wote hawana WC wala hakuna blah blah eti sie tulifika final


Hongereni kwa kufika huko lakini nyie na simba ni sambamba tu vinginevyo mkaze mchukue
 
Back
Top Bottom