Kusema Yanga walipata mteremko Fainali sio kwamba ni chuki dhidi yao

Mr Leo

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
604
Reaction score
1,269
Tukisema yanga alikuwa na easy way to the Final tafsiri yake bado tunarudisha heshima kwa Yanga, yaani tunaamini Yanga hakukutana na wakubwa wenzie wakumpa challenge, tunaamini Yanga ni bora sana kuliko aliocheza nao.

Ukitaka tusiseme hivi tafsiri yake Yanga uwezo wake na ubora wake si kama Top wa South (Mamelody, Kaizer Chief) bali ni sawa na mshuka daraja Marumo, ukitaka tusiseme easy way tafsiri yake Yanga hana uwezo wa kucheza na Ahly, Wydad, Raja,kaizer, Mamelody na wengineo ndio maana akaenda kucheza na wa level yake Rivers United.

Kwa mashabiki wote wa soka nchini wote kwa peak aliyoifikia Yanga msimu huu tulitamani kuona akicheza na Mamelody, Ahly, Kaizer, Wydad, na Raja that's why we claim that it was an easy pass na hatutabadili misimamo yetu kama wapenzi wa soka (nimejiondoa kwenye usimba) na huu kwangu mimi ndio ukweli.
 
Waje hapa watuambie ile Club ya uzaramuni Marumo na wabovu wenzake kina Rivers, USM ALGER ni nani kati ya hao utafananisha na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Simba, na Mamelody?
Tukijadili Mambo kihakika yake wao wanafikiri tunaongozwa na chuki
 
Waje hapa watuambie ile Club ya uzaramuni Marumo na wabovu wenzake kina Rivers, USM ALGER ni nani kati ya hao utafananisha na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Simba, na Mamelody?
First leg
USM ALGER 2-0 AS FAR RABAT

Sec leg
ASFAR RABAT 3-2 USM ALGER

First leg
PYRAMID 1-1 MARUMO GALLANTS

Sec Leg
MARUMO 1-0 PYRAMIDS

BOTOLA PRO.
1. AS FAR RABAT
2. WYDAD
3.
4.
5.
6. RAJA CASABLANCA
 
First leg
USM ALGER 2-0 AS FAR RABAT

Sec leg
ASFAR RABAT 3-2 USM ALGER

First leg
PYRAMID 1-1 MARUMO GALLANTS

Sec Leg
MARUMO 1-0 PYRAMIDS

BOTOLA PRO.
1. AS FAR RABAT
2. WYDAD
3.
4.
5.
6. RAJA CASABLANCA
Umeliewa swali?
 
Haraka ya nini,CAF Champions hivi soon itaanza,tutazijua mbivu na mbichi
 
hii issue naona Kila mtu anavutia upande wake kilichobaki simba leteni kombe mmalize ubishi maana ukubwa wenu upo midomoni tu
Upo midomoni na pia Kwa timu Gani alizocheza nazo Yanga
 
Umejibiwa hapo, hujamuona USM Alger amemuondosha FAR RABAT ambaye ndio anaongoza Ligi MORROCO?

RAJA amekupiga nje ndani, yuko nafasi ya 6 hapo. Huoni?
Kuna sehemu nimemtaja FAR RABAT mimi?

Ana ukubwa gani huyo kumzidi Wydad?
 
Kuna sehemu nimemtaja FAR RABAT mimi?

Ana ukubwa gani huyo kumzidi Wydad?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Akili zitakukaa sawa tu dadangu, haya umewadharau hao USM Alger na MARUMO nimekuonesha timu walizozitoa na hapo sijakuwekea US MONASTRY ambaye alimtoa Bingwa mtete RS Berkane.

Huyo Pyramid ni wa 2 kwao Egpty na wamepishana point 1 na Al ahly.
 
Huyu mwanga tu aka kigaguraaa aka winchi aka undimbo.. mapenzi yako mbele kuliko uelewa. Bado anaona Simba timu kubwa hapo kakariri tu... Anaish na chuki zisizo na sababu. Muulize sasa ukubwa wa simba uko kwenye Nini?
 
Ukubwa wa Afrika unamaanisha Nini? Easy way to? Are you sure?. Kwa ukubwa a Simba easy way to NBC champion. Nasemajeeeeeeeeee Simba kakutana na easy way to champion, NBC LA KWAKEE
 
Roborobo wanahangaika mno aisee, sasa ukisema hivo inakusaidia nini?? Au inabatilisha yanga kufika final.

Acha chuki huyo Marumo kawakanda wakubwa unaojinasibu nao.

Yaani kumfunga hapa wydad basi mnajiona mko sawa nae.


Wazee wa "kwa mkapa hatoki mtu then ugenini mnakula 3"

Mwananchi hana home wala away yeye kokote anashinda tu dadeki
 
Waje hapa watuambie ile Club ya uzaramuni Marumo na wabovu wenzake kina Rivers, USM ALGER ni nani kati ya hao utafananisha na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Simba, na Mamelody?
Tp mazembe nao mnawaweka kwenye mzani gani?maana katika hao waliowataja ni al ahly tu ndio wako weight sawa na tp mazembe
 
Ukubwa wa Afrika unamaanisha Nini? Easy way to? Are you sure?. Kwa ukubwa a Simba easy way to NBC champion. Nasemajeeeeeeeeee Simba kakutana na easy way to champion, NBC LA KWAKEE
Haraka yanini andika umetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…