Kushambuliwa kwa Padre Kitima ni mtihani mkubwa kwa Kanisa Katoliki

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Ingawa Kanisa Katoliki litasema watu wasiongee mambo yanayoweza kuleta vurugu,lakini hili ni jambo ambalo litawachanganya sana waumini. Kwa sababu Ukristo ni Dini ya amani.

Na Bwana Yesu ametufundisha kuchukua Msalaba Wake na kumfuata.

Iweje leo vibaka wanamshambulia kiongozi mkubwa wa Dini?

Maamuma watasikitishwa na jambo hili. Lakini maamuma ni maamuma kiasi gani?

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Tumeona maamuma wakati mwingine wameushambulia za: "Wewe padre,kwa nini tumefanya hivyo? Umepata wapi katika Biblia ruhusa ya kufanya hivyo?"

Unafahamu kuhusu watalii.

When the Guide points at something,they sometimes look at the finger instead of looking at the guide.
You see, when someone has got the rainbow philosophy,and he points at something , people will invariably look at his finger instead of looking at what is being pointed at.

Kwa hiyo maamuma watataka wapewe maelezo ya kuridhisha viongozi wao walishambuliwa .
 
Hii dunia haiko fair.
Binadamu ndivo tulivo
Wewe binadam wamemuua mpaka mwana wa Mungu (Yesu)
Tusishangae ya padri nafikiri aliingia kwenye 18 za watu.
 
Ingawa Kanisa Katoliki litasema watu wasiongee mambo yanayoweza kuleta vurugu,lakini hili ni jambo ambalo litawachanganya sana waumini. Kwa sababu Ukristo ni Dini ya amani.

Na Bwana Yesu ametufundisha kuchukua Msalaba Wake na kumfuata.

Iweje leo vibaka wanamshambulia kiongozi mkubwa wa Dini?

Maamuma watasikitishwa na jambo hili. Lakini maamuma ni maamuma kiasi gani?

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Tumeona maamuma wakati mwingine wameushambulia za: "Wewe padre,kwa nini tumefanya hivyo? Umepata wapi katika Biblia ruhusa ya kufanya hivyo?"

Unafahamu kuhusu watalii.

When the Guide points at something,they sometimes look at the finger instead of looking at the guide.
You see, when someone has got the rainbow philosophy,and he points at something , people will invariably look at his finger instead of looking at what is being pointed at.

Kwa hiyo maamuma watataka wapewe maelezo ya kuridhisha viongozi wao walishambuliwa .
Kanisa katoliki limeshambuliwa indirectly.
 
Hii siyo Dini ya Yesu. Hii Dini ni yetu. Hii siyo Dini ya Baba Mtakatifu. Ni Dini yetu. Hii siyo Dini ya Askofu. Ni dini yetu.
Sisi wote ni Padre Charles Kitima.
We are all Charlie.
 
Watanganyika tukatae kutawaliwa na Mzanzibari, Tanganyika ni kwa Watanganyika. Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
 
Attachments

  • FB_IMG_1702085740919.jpg
    FB_IMG_1702085740919.jpg
    1.6 KB · Views: 41
Unakumbuka Wazanzibari walivyomfanya Hanga ?
Walisema mlete huku tuna mazungumzo naye kidogo.
Ni ajabu hata kusikia kwamba wapo Wazanzibari hawautaki Muungano.
 
Mbona inasemekana dingi wako ndiye alimpoteza Khasim Hanga.
 
No, alisema,"Wale watu walimuita,tukampeleka. I had no election idea what they wanted to do to him."
Lakini hapa hatuongei kuhusu Muungano.
Tunaongea kuhusu Serikali Kandamizi.
Tunasema Serikali ikipunguza ukandamizaji,wananchi wanapata ahueni.
 
Back
Top Bottom