Pre GE2025 Kushambuliwa Ole Sendeka kuwafungue macho wanasiasa kuelekea uchaguzi Mkuu; wasiokubalika wanapenda sana elimination

Pre GE2025 Kushambuliwa Ole Sendeka kuwafungue macho wanasiasa kuelekea uchaguzi Mkuu; wasiokubalika wanapenda sana elimination

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Wanasiasa wenye mvuto na ushawishi kwa jamii chukueni tahadhari. Wapo watu wameletwa Duniani kuongozwa ila wanatamani kuongoza.

Kipindi hiki hali ya tamaa uwaka sana mioyoni mwa wanasiasa. Malipo mengi utolewa kwa vijana wavuta bangi na wasio na kazi waende kudhulumu nafsi za wale wanaokubalika.

Mtakumbuka kuna kipindi Ndugai aliwahi kumpiga mgombea mwenzake fimbo adharani; assume zile hasira angekaa nazo ndani angepanga nini kwa mpinzani wake?

Tunapoelekea uchaguzi wanasiasa na familia zenu kuweni makini Dunia imebadilika sana, wakatili wanatamani wakabidhiwe jamii waongoze.
 
Hizo zilikua siasa za Magufuli. Samia hajazifuta bado
 
Back
Top Bottom