Kushamiri kwa matumizi ya viungo bandia /sex toys

Sasa unataka kuwapangia maisha?

Wewe Magu akija na kufunga JF hapa akisema mnajadili mada ambazo hazina maadili ya Kitanzania utasemaje?

Wenzako wakikwambia wanajiepusha na michepuko na magonjwa, na hiyo ndiyo njia bora kabisa, utasemaje?

Live and let live!
 
Tumezoea kufuatiliana sana.

Kwa kisingizio cha maadili.

Wakati kufuatiliana fuatiliana nako si maadili!
Akili ya matope kabisa kushindwa kutofautisha kati ya jema na baya.

haiwezekani jamii yako inafanya mambo kinyume na maadili kisha mtu usigoji kwa nini yanatokea..

we Kiranga bila shaka una ugonjwa wa akili ama ulishatendwa kisaikolojia ama kuna pepo mchafu anatawala katika roho yako

na hili la pepo mchafu ndiyo nalihisi zaidi kupitia comment zako

We jamaa mungu akuongoze wallah
 
Maadili ni nini?
 
Haya
FB_IMG_1524255601299.jpg
 
Maadili ni nini?
ikiwa uliwahi kuishi na watu wenye busara zao nadhani huwezi kuuliza jambo adhimu kama hilo na naimani unajua lakini kwa kuwa nimezowea kwa ubishi wako wa kitoto na pumba ndani ya vihoja vyako basi nadhani majawabu matamu kwa jaahil murakkabu(ni mpuuzi ambae anajiona ajua sana kumbe mbumbumbu)

basi niseme tu wewe bwana mkubwa tunakuombea utokwe na mapepo wachafu kwa sababu ungelikuwa huna pepo wachafu katika moyo wako basi hili neno maadili lisingelikuwa geni kwako
 
Kwa nini unafikiri mtu akikuuliza maadili ni nini neno hilo ni geni kwake?
 
Wingi wa papuchi sio shida, shida na gharama za kuzipata, magonjwa, kero, muda na nguvu kubwa na pia hazipatikani kwa wakati.
 
Kwa nini unafikiri mtu akikuuliza maadili ni nini neno hilo ni geni kwake?
ni kwa sababu hata mtoto wa darasa la saba anajua nini maana ya maadili kwa kule kuishi kwake na watu.

sasa huwenda wewe hukuishi na watu wenye akili zao ama ni mtoto chini ya darasa la saba kwa sababu maandishi na vihoja vyako vinatufanya tuamini hivyo.

wewe ni mtu ambae upekee wako ni pale unaposema jambo watu wakakushangaa na sio wakakuamini .wakati mtu unatakikana useme jambo watu waamini.
.hii ni kuonyesha bado ubongo wako uko katika jera ya kifikra
 
Jibu hili linaonesha huelewi "Socratic Method" ni nini.

Na linaonesha kwa nini mimi na wewe kujadiliana ni vigumu.

Kwa sababu una ufahamu mdogo na ubarubaru mkubwa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wewe mbona umefahamika fikra zako mkuu.

Na hayo hujifariji wengi wanapojiona wamejaz pumba na hujitetea mfano wa maneno yako hayo [emoji115] [emoji115] [emoji115]

sasa kwa utetezi huo niseme tu nenda salama mana nimekuwa na uzoefu wa maneno kama hayo kutoka kwa watu mbali mbali,lakini kumbe na wewe unapita mapito hayo hayo.
 
hivi inapatikana wapi hyoooo....daaah mbona mi sijawai kuiona wala kutumia.......

Tusifanyiane hvo bhana....inauzwa wap hyo[emoji849]
 
Huwa najiuliza inakuwaje binadamu unafanya ngono na midoli?

Unakuta mwanamke ana wapenzi wa kutosha ila kwenye pochi ana livibrato. Mwanzoni nilidhani haya madude wanayatumia masingle girl kama mimi kumbe ni big no wanatumia watu wenye access ya dudu daily.

Wanaume nao sijui Samantha wao anaendeleaje? Kwanini binadamu wamefika huko, mbona papuchi nyingi tu duniani?

Cc. GuDume rais wa michepuko ulimwenguni. full dozi
Hahaha
 
Back
Top Bottom