Julius Magembe
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 284
- 394
Sasa unataka kuwapangia maisha?
Wewe Magu akija na kufunga JF hapa akisema mnajadili mada ambazo hazina maadili ya Kitanzania utasemaje?
Wenzako wakikwambia wanajiepusha na michepuko na magonjwa, na hiyo ndiyo njia bora kabisa, utasemaje?
Tumezoea kufuatiliana sana.Live and let live!
Akili ya matope kabisa kushindwa kutofautisha kati ya jema na baya.Tumezoea kufuatiliana sana.
Kwa kisingizio cha maadili.
Wakati kufuatiliana fuatiliana nako si maadili!
Maadili ni nini?Akili ya matope kabisa kushindwa kutofautisha kati ya jema na baya.
haiwezekani jamii yako inafanya mambo kinyume na maadili kisha mtu usigoji kwa nini yanatokea..
we Kiranga bila shaka una ugonjwa wa akili ama ulishatendwa kisaikolojia ama kuna pepo mchafu anatawala katika roho yako
na hili la pepo mchafu ndiyo nalihisi zaidi kupitia comment zako
We jamaa mungu akuongoze wallah
ikiwa uliwahi kuishi na watu wenye busara zao nadhani huwezi kuuliza jambo adhimu kama hilo na naimani unajua lakini kwa kuwa nimezowea kwa ubishi wako wa kitoto na pumba ndani ya vihoja vyako basi nadhani majawabu matamu kwa jaahil murakkabu(ni mpuuzi ambae anajiona ajua sana kumbe mbumbumbu)Maadili ni nini?
Kwa nini unafikiri mtu akikuuliza maadili ni nini neno hilo ni geni kwake?ikiwa uliwahi kuishi na watu wenye busara zao nadhani huwezi kuuliza jambo adhimu kama hilo na naimani unajua lakini kwa kuwa nimezowea kwa ubishi wako wa kitoto na pumba ndani ya vihoja vyako basi nadhani majawabu matamu kwa jaahil murakkabu(ni mpuuzi ambae anajiona ajua sana kumbe mbumbumbu)
basi niseme tu wewe bwana mkubwa tunakuombea utokwe na mapepo wachafu kwa sababu ungelikuwa huna pepo wachafu katika moyo wako basi hili neno maadili lisingelikuwa geni kwako
ni kwa sababu hata mtoto wa darasa la saba anajua nini maana ya maadili kwa kule kuishi kwake na watu.Kwa nini unafikiri mtu akikuuliza maadili ni nini neno hilo ni geni kwake?
Jibu hili linaonesha huelewi "Socratic Method" ni nini.ni kwa sababu hata mtoto wa darasa la saba anajua nini maana ya maadili kwa kule kuishi kwake na watu.
sasa huwenda wewe hukuishi na watu wenye akili zao ama ni mtoto chini ya darasa la saba kwa sababu maandishi na vihoja vyako vinatufanya tuamini hivyo.
wewe ni mtu ambae upekee wako ni pale unaposema jambo watu wakakushangaa na sio wakakuamini .wakati mtu unatakikana useme jambo watu waamini.
.hii ni kuonyesha bado ubongo wako uko katika jera ya kifikra
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wewe mbona umefahamika fikra zako mkuu.Jibu hili linaonesha huelewi "Socratic Method" ni nini.
Na linaonesha kwa nini mimi na wewe kujadiliana ni vigumu.
Kwa sababu una ufahamu mdogo na ubarubaru mkubwa.
HahahaHuwa najiuliza inakuwaje binadamu unafanya ngono na midoli?
Unakuta mwanamke ana wapenzi wa kutosha ila kwenye pochi ana livibrato. Mwanzoni nilidhani haya madude wanayatumia masingle girl kama mimi kumbe ni big no wanatumia watu wenye access ya dudu daily.
Wanaume nao sijui Samantha wao anaendeleaje? Kwanini binadamu wamefika huko, mbona papuchi nyingi tu duniani?
Cc. GuDume rais wa michepuko ulimwenguni. full dozi
Naam Clint walkerMambo ya Chaputa hayo