Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Habari za Mihangaiko ya maisha, natumai tu wazima, kwa wanye matatizo poleni Mungu awajalie wepesi
Niende moja kwa mona kwenye mada, Kwa Mwanaume /Mwanamke, ulieoa/ulieolewa... Unavyumba viwili, Chumba na sebule unapata mgeni Dada wa Mkeo /Kaka wa mumeo Je utampisha dada wa mkeo alale na mkeo kitandani kwenu au utampisha kaka wa mumeo alale chumbani na mumeo,?? Wewe ulale Sebuleni? Au mgeni atalazwa sebuleni?
Pia pale unapopata mgeni wa jinsia moja wapo ambae si ndugu yako utampisha chumba ashare na mwenzi wako? Au uta mlaza Sebuleni? Ulale sebuleni?
Swala la mwisho je ukitembelewa na mzazi wako ama mzazi wa mwenza wako mazingira tajwa juu utafanyaje?
Mabishano haya yametokea kitaani kwetu
Cc
No Escape
Zero IQ
Evelyn Salt
Sky Eclat
Bulaya001
Demiss