Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4]hiyo ningeitumia akija mdogo wa mke wangu, itakuwa njema sana.
DaahHapo inategemea mtu na mtu, namnanavyoishi na mengine mengi!
Nina rafiki yangu, wamempisha wifi yake alale kwa room yao sababu ni mgonjwa kwa hiyo inabidi atumie master bedroom!
Vipi etiDaah
Maadili skuizi hayapo yaani vijana wanaishi hovyo unakuta mtu anamke ana vyumba viwili ila chumbani kwake kama gheto kila mtu anaingiaVipi eti
Ndo hivyo tenaMaadili skuizi hayapo yaani vijana wanaishi hovyo unakuta mtu anamke ana vyumba viwili ila chumbani kwake kama gheto kila mtu anaingia