Kushare Chumba chako na mkeo kwa wageni

Kushare Chumba chako na mkeo kwa wageni

Chumba wanacholala wanandoa hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia wala kulala awe baba,mama,dada,kaka au ndugu yeyote yule isipokuwa watoto wenu tu tena watoto wenye umri mdogo ndugu anayekuja ataishia sebuleni km sn chumba cha wageni
 
Hapo inategemea mtu na mtu, namnanavyoishi na mengine mengi!

Nina rafiki yangu, wamempisha wifi yake alale kwa room yao sababu ni mgonjwa kwa hiyo inabidi atumie master bedroom!
 
Hapo inategemea mtu na mtu, namnanavyoishi na mengine mengi!

Nina rafiki yangu, wamempisha wifi yake alale kwa room yao sababu ni mgonjwa kwa hiyo inabidi atumie master bedroom!
Daah
 
Nilishasema, kwangu mimi nikioa kama ninaishi kwenye chumba na sebule, sitaki mgeni wa kuja kulala. Akija aje to his o her own risk.

Mimi mwenyewe sijawahi kwenda kwa bro angu wa kuzaliwa nae sababu najua wanaish chumba na sebule, mimi ni nani nikawaharibie starehe zao!?
 
Back
Top Bottom