Kushare Chumba chako na mkeo kwa wageni

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Habari za Mihangaiko ya maisha, natumai tu wazima, kwa wanye matatizo poleni Mungu awajalie wepesi
Niende moja kwa mona kwenye mada, Kwa Mwanaume /Mwanamke, ulieoa/ulieolewa... Unavyumba viwili, Chumba na sebule unapata mgeni Dada wa Mkeo /Kaka wa mumeo Je utampisha dada wa mkeo alale na mkeo kitandani kwenu au utampisha kaka wa mumeo alale chumbani na mumeo,?? Wewe ulale Sebuleni? Au mgeni atalazwa sebuleni?

Pia pale unapopata mgeni wa jinsia moja wapo ambae si ndugu yako utampisha chumba ashare na mwenzi wako? Au uta mlaza Sebuleni? Ulale sebuleni?

Swala la mwisho je ukitembelewa na mzazi wako ama mzazi wa mwenza wako mazingira tajwa juu utafanyaje?

Mabishano haya yametokea kitaani kwetu

Cc
No Escape
Zero IQ
Evelyn Salt
Sky Eclat
Bulaya001
Demiss
 
Hapana aisee,haijalishi ni nan labda mama yangu ndio ntamwachia chumba alale na mwali wake,wengine wote mtalala sebuleni
Mila yetu hairuhusu mama mkwe kulala na mwenga wake hata kula pamoja
 
Inatakiwa mgeni atafutiwe pa kulala kama ni lodge au sebleni, ila kwa upande mwingine inabidi tu umpishe baba/mama mkwe wengine sebleni....
Ila pia sio vema baba/mama kulala kitanda chetu.

Msimamo wangu: inategemea na huyo mgeni
 
Hapishwi mtu hapa mzee sebureni kutahusika mkuu
 
Master bed room ni ya watu wawili na watoto wasio zidi umri wa miaka 2. Master sio kitanda tuu kuna utukufu wa haki ya juu kwa ajili ya wawili.
 
Hakuna nyumba za wageni mtaani kwenu??
 
Ni ujinga kumpisha mgeni yeyote yule chumba cha mke na mume hata kama ni mgeni wa siku chache.

 
Kwani Nyumba za kulala wageni hamna?
 
Reactions: BAK
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Kwani Nyumba za kulala wageni hamna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…