Kushawishiwa kwa Jaji Ramadhani. Je, ni uthibitisho kwamba CCM imeoza na imeshindwa?

Kushawishiwa kwa Jaji Ramadhani. Je, ni uthibitisho kwamba CCM imeoza na imeshindwa?

Jokakuu:

Alikuwa jeshini na kufikia cheo cha ubrigedia. Hivyo uzoefu anao wa kiserikali. Au jeshini haiingii kwenye hesabu za kiserikali?

..alikuwa hakimu ktk mahakama za kijeshi.
 
Rev. Kishoka,

..asante.

..lakini naomba urejee bandiko langu la kwanza.

..ninachouliza mimi ni kama wanachama wa CCM waliotumikia kwenye chama na serikali ya CCM wanakiri KUSHINDWA kiasi kwamba wameamua kuleta mgombea toka nje.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

CCM inatapatapa, miaka 10imeendeshwa kimjinimjini, bila kuwa na uongozi wenye akili timamu! sasa wanatafuta yeyote awaokoe!
 
Jokakuu,

Naomba usome Chaguo la Mchungaji kupata jibu la swali lako!
 
Back
Top Bottom