J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jun 28, 2015 Thread starter #21 Zakumi said: Jokakuu: Alikuwa jeshini na kufikia cheo cha ubrigedia. Hivyo uzoefu anao wa kiserikali. Au jeshini haiingii kwenye hesabu za kiserikali? Click to expand... ..alikuwa hakimu ktk mahakama za kijeshi.
Zakumi said: Jokakuu: Alikuwa jeshini na kufikia cheo cha ubrigedia. Hivyo uzoefu anao wa kiserikali. Au jeshini haiingii kwenye hesabu za kiserikali? Click to expand... ..alikuwa hakimu ktk mahakama za kijeshi.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jun 28, 2015 Thread starter #22 Rev. Kishoka, ..asante. ..lakini naomba urejee bandiko langu la kwanza. ..ninachouliza mimi ni kama wanachama wa CCM waliotumikia kwenye chama na serikali ya CCM wanakiri KUSHINDWA kiasi kwamba wameamua kuleta mgombea toka nje. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Rev. Kishoka, ..asante. ..lakini naomba urejee bandiko langu la kwanza. ..ninachouliza mimi ni kama wanachama wa CCM waliotumikia kwenye chama na serikali ya CCM wanakiri KUSHINDWA kiasi kwamba wameamua kuleta mgombea toka nje.
Rev. Kishoka JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 4,526 Reaction score 1,540 Jul 3, 2015 #23 JokaKuu, CCM inatapatapa, miaka 10imeendeshwa kimjinimjini, bila kuwa na uongozi wenye akili timamu! sasa wanatafuta yeyote awaokoe!
JokaKuu, CCM inatapatapa, miaka 10imeendeshwa kimjinimjini, bila kuwa na uongozi wenye akili timamu! sasa wanatafuta yeyote awaokoe!
Rev. Kishoka JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 4,526 Reaction score 1,540 Jul 10, 2015 #24 Jokakuu, Naomba usome Chaguo la Mchungaji kupata jibu la swali lako!