Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
Ni raha sana kusafiri kwenda likizo nchi za nje na kutalii. Lakini kuna raha pia kama utaweza kwenda maeneo ambayo hujawahi kufika hapa hapa bongo.
Kwa mfano, Tanzania siku hizi imebadilika sana. Kuna sehemu nyingi sana unaweza kwenda kwa bajeti ndogo na ukafurahia sana moments ukiwa mwenyewe au na umpendae/uwapendao.
Kwaresma na Eid ziko njiani. Mpango wako ukoje?