Kushika mimba Tanzania isiwe hofu kupoteza ya maisha.

Kushika mimba Tanzania isiwe hofu kupoteza ya maisha.

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia.

Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie hili jambo upya kabisa.
 
kweli mkuu umenena yaani kuna mda serikali inabdi kupigia kampeni hili suala
 
Back
Top Bottom