Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Mke wangu anapata tatizo la kushikwa na misuli mara kwa mara wakati mwingine anaweza kustuka usingizini na kukuta misuli inavuta hasa ya nyuma ya miguu chini ya goti, begani na wakati mwingine tumboni. Huwa anateseka sana kwani wakati mwingine hutokea miguu yote miwili. Nini tatizo na tiba?