Kushikwa na misuli mara kwa mara

Kushikwa na misuli mara kwa mara

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,409
Reaction score
13,262
Mke wangu anapata tatizo la kushikwa na misuli mara kwa mara wakati mwingine anaweza kustuka usingizini na kukuta misuli inavuta hasa ya nyuma ya miguu chini ya goti, begani na wakati mwingine tumboni. Huwa anateseka sana kwani wakati mwingine hutokea miguu yote miwili. Nini tatizo na tiba?
 
Pole yenu? ni mjamzito? maake hiyo maranyng inawatokea wajawazito japo sjui sababu nini, kwa case kama sio mjamzito weng wanashauriwa kuacha kula nyama.
 
apake dawa za kuchua musuli zipo nyingi (twasiliane kwa recommended) lakini pia angalia nature ya maisha yake je anafanya mazoezi anagalau kidogo
 
Pole yenu? ni mjamzito? maake hiyo maranyng inawatokea wajawazito japo sjui sababu nini, kwa case kama sio mjamzito weng wanashauriwa kuacha kula nyama.
hata wanaume inawakamata iyo.
 
Tetenasi akamuone dakitari kabla haijawa mbaya,.
 
Back
Top Bottom