Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Halima Mdee alimshinda Angela Kizigha mwaka 2010 kwa tofauti ya kura chache sana. 2015 kwa upepo wa Lowasa akamshinda warioba kwa tofauti ndogo sana.
Jimbo la Kawe kwa asilimia fulani linakaliwa na watu wa kipato cha kati. Mitaa kama Mzimuni, Mbezi Beach A na B hapa wanaishi watu wanaojikidhi kwa kiasi fulani.
Hii mitaa halima huwa hapati kura nyingi huwa anapata kura chache sana. Sehemu anazopata kura ni mitaa ya Ukwamani, hii mitaa imejaa kila aina ya wajuva.
Kwa kuwa Halima alimshinda Warioba kwa tofauti ndogo sana, ningeshauri Kippi Warioba agombee hili jimbo; nina uhakika atashinda kwa asilimia kubwa.
Kwa kuwa wapiga kura wengi wa Kawe hawamuoni Halima kama Kiongozi bali kama mwanaharakati.
Nimesikia mpango wa CCM kutaka kusimamisha wagombea ambao wanaushawishi mitandaoni naomba wasijaribu hili tutakipasua chama kuelekea Oktoba.
Kama Warioba alipata kura zaidi ya elfu tisini na uhakika atashinda kwa kishindo.
Tuirudishe CCM kwenye makali yake
Mh. Polepole na Dr. Bashiru zingatieni sana hili