SheriaE
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 606
- 447
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kizuri kama kupuuzwa na mpuuziWewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Nakubaliana na ushauri wako na namna ulivyochambua hili Jimbo la Kawe. Ukweli ni kwamba Kippi alitaka kwenda Mahakamani kupinga "ushindi" wa Mh.Mdee; na angemshinda huko kwa Pilato.Lakini kwa busara za wazee na viongozi ndani ya CCM, ilikubali YAISHE na tusubiri 2020, ambayo tayari imefika. Mh.Mdee kama atagombea, apewe DC Kippi kama mshindani wake toka CCM ili tuchukue Jimbo letu la Kawe.Halima Mdee alimshinda Angela Kizigha mwaka 2010 kwa tofauti ya kura chache sana. 2015 kwa upepo wa Lowasa akamshinda warioba kwa tofauti ndogo sana.
Jimbo la Kawe kwa asilimia fulani linakaliwa na watu wa kipato cha kati. Mitaa kama Mzimuni, Mbezi Beach A na B hapa wanaishi watu wanaojikidhi kwa kiasi fulani.
Hii mitaa halima huwa hapati kura nyingi huwa anapata kura chache sana. Sehemu anazopata kura ni mitaa ya Ukwamani, hii mitaa imejaa kila aina ya wajuva.
Kwa kuwa Halima alimshinda Warioba kwa tofauti ndogo sana, ningeshauri Kippi Warioba agombee hili jimbo; nina uhakika atashinda kwa asilimia kubwa.
Kwa kuwa wapiga kura wengi wa Kawe hawamuoni Halima kama Kiongozi bali kama mwanaharakati.
Nimesikia mpango wa CCM kutaka kusimamisha wagombea ambao wanaushawishi mitandaoni naomba wasijaribu hili tutakipasua chama kuelekea Oktoba.
Kama Warioba alipata kura zaidi ya elfu tisini na uhakika atashinda kwa kishindo.
Tuirudishe CCM kwenye makali yake
Mh. Polepole na Dr. Bashiru zingatieni sana hili
busara? say it again ...Nakubaliana na ushauri wako na namna ulivyochambua hili Jimbo la Kawe. Ukweli ni kwamba Kippi alitaka kwenda Mahakamani kupinga "ushindi" wa Mh.Mdee; na angemshinda huko kwa Pilato.Lakini kwa busara za wazee na viongozi ndani ya CCM, ilikubali YAISHE na tusubiri 2020, ambayo tayari imefika. Mh.Mdee kama atagombea, apewe DC Kippi kama mshindani wake toka CCM ili tuchukue Jimbo letu la Kawe.
Umetoa ufafanuzi wa maana kabisa, hiki chama changu, hivi sasa lina sikio la kufa, hakuna wanalolosika.Halima Mdee alimshinda Angela Kizigha mwaka 2010 kwa tofauti ya kura chache sana. 2015 kwa upepo wa Lowasa akamshinda warioba kwa tofauti ndogo sana.
Jimbo la Kawe kwa asilimia fulani linakaliwa na watu wa kipato cha kati. Mitaa kama Mzimuni, Mbezi Beach A na B hapa wanaishi watu wanaojikidhi kwa kiasi fulani.
Hii mitaa halima huwa hapati kura nyingi huwa anapata kura chache sana. Sehemu anazopata kura ni mitaa ya Ukwamani, hii mitaa imejaa kila aina ya wajuva.
Kwa kuwa Halima alimshinda Warioba kwa tofauti ndogo sana, ningeshauri Kippi Warioba agombee hili jimbo; nina uhakika atashinda kwa asilimia kubwa.
Kwa kuwa wapiga kura wengi wa Kawe hawamuoni Halima kama Kiongozi bali kama mwanaharakati.
Nimesikia mpango wa CCM kutaka kusimamisha wagombea ambao wanaushawishi mitandaoni naomba wasijaribu hili tutakipasua chama kuelekea Oktoba.
Kama Warioba alipata kura zaidi ya elfu tisini na uhakika atashinda kwa kishindo.
Tuirudishe CCM kwenye makali yake
Mh. Polepole na Dr. Bashiru zingatieni sana hili
Nakubaliana na ushauri wako na namna ulivyochambua hili Jimbo la Kawe. Ukweli ni kwamba Kippi alitaka kwenda Mahakamani kupinga "ushindi" wa Mh.Mdee; na angemshinda huko kwa Pilato.Lakini kwa busara za wazee na viongozi ndani ya CCM, ilikubali YAISHE na tusubiri 2020, ambayo tayari imefika. Mh.Mdee kama atagombea, apewe DC Kippi kama mshindani wake toka CCM ili tuchukue Jimbo letu la Kawe.
Umetoa ufafanuzi wa maana kabisa, hiki chama changu, hivi sasa lina sikio la kufa, hakuna wanalolosika.
Inasikitisha yule MASTER PLANNER NA STRATEGIST wa kimataifa Ndugu ABDULRAHMAN OMAR KINANA amekitosa chama kitambo, baada ya kuona mambo yakiendeshwa kiajabu ajabu.
Baada ya uchaguzi utaona Polepole na wakiwa mamilioner kwa pesa za kukupua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfa na tai shingoni amefufuka,kachukue malipo yako ya buku 7!
Comrade waongeze posho
BUKU7 ni ndogo hasa kwa juhudi kubwa unazozifanya
Halafu uwe unaweka na mamba ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kizuri kama kupuuzwa na mpuuzi
tumekusikia mtoto wa warioba
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia hoja hii vizuri na kwa makini sana.
P
Kwani yeye ametaja vitu gani ambavyo halima hajafanya.Kwanza unalijua jimbo la kawe au ndo uko huko Upotolo?Hapo kuna hoja gani aliyoyoa mleta mada?Waswahili wenye akili ndogo,mtu akitoa ushauri tu. Na kueleza ukweli utasikia buku 7. Hamna hoja za kuweza kujibu? Hoja hujibiwa kwa hoja, nilitegemea utasikia labda Halima amefanya hiki na hiki kwa watu wa Kawe hivyo atarudi tu mjengoni.
Sitakiwi nikujibu.Kwani yeye ametaja vitu gani ambavyo halima hajafanya.Kwanza unalijua jimbo la kawe au ndo uko huko Upotolo?Hapo kuna hoja gani aliyoyoa mleta mada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitakiwi nikujibu.
Vijana wa ufipa Wengi hawako vizuri kichwani unawapuuza tu