Uchaguzi 2020 Kushinda jimbo la Kawe kwa 100%, CCM ifanye haya

Comrade waongeze posho

BUKU7 ni ndogo hasa kwa juhudi kubwa unazozifanya

Halafu uwe unaweka na mamba ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na ushauri wako na namna ulivyochambua hili Jimbo la Kawe. Ukweli ni kwamba Kippi alitaka kwenda Mahakamani kupinga "ushindi" wa Mh.Mdee; na angemshinda huko kwa Pilato.Lakini kwa busara za wazee na viongozi ndani ya CCM, ilikubali YAISHE na tusubiri 2020, ambayo tayari imefika. Mh.Mdee kama atagombea, apewe DC Kippi kama mshindani wake toka CCM ili tuchukue Jimbo letu la Kawe.
 
busara? say it again ...
 
Umetoa ufafanuzi wa maana kabisa, hiki chama changu, hivi sasa lina sikio la kufa, hakuna wanalolosika.

Inasikitisha yule MASTER PLANNER NA STRATEGIST wa kimataifa Ndugu ABDULRAHMAN OMAR KINANA amekitosa chama kitambo, baada ya kuona mambo yakiendeshwa kiajabu ajabu.

Baada ya uchaguzi utaona Polepole na wakiwa mamilioner kwa pesa za kukupua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasubiri muda tu Mkuu

Hatuwezi kuongozwa na mwanamke asiyejielewa kazi yake kutukana tu
 
Akishamaliza kazi yake mwache apumzike Ccm ni chuo cha kupika Viongozi wapo wengi sana

 
Umeongea pointi za muhimu Sana. Tunashindwa kuelewa ni kwanini Kinondoni inajengwa Rami tupu lakini Bunju, salasala, mbezibeach Rami ziko kiwango kidogo Sana. Hata service road hazijengwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Jimbo lako Hili. Naamini utalifikisha mbele zaidi mzee wa Massana.

Kippi ameshindwa kujipambanua mbele ya watu wa kawe amekuwa mkimya Sana na asije akaenda bungeni akawa Kama Idd Azan haongei chochote kuhusu Jimbo.

Coincidence wote nyie Learned Council. Mawakili wasomi.
Nimefuatilia hoja hii vizuri na kwa makini sana.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili wenye akili ndogo,mtu akitoa ushauri tu. Na kueleza ukweli utasikia buku 7. Hamna hoja za kuweza kujibu? Hoja hujibiwa kwa hoja, nilitegemea utasikia labda Halima amefanya hiki na hiki kwa watu wa Kawe hivyo atarudi tu mjengoni.
Kwani yeye ametaja vitu gani ambavyo halima hajafanya.Kwanza unalijua jimbo la kawe au ndo uko huko Upotolo?Hapo kuna hoja gani aliyoyoa mleta mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…