Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Asante mkuu..kapata mtihani kwakweliPole sana
Aende chuo akajieleze vizuri kuhusu tatizo lake, na aombe kufanya special supplementary ambayo inafanyika chuo kinapofunguaWadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha udsm kwa changamoto za kiafya..Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa kuattend kwenye mtihan..Sasa naomba kujua Ni hatua gan afuate ili anusurike wakuu..msaada wa mawazo tafadhali..natanguliza shukran
Aende chuo akajieleze vizuri kuhusu tatizo lake, na aombe kufanya special supplementary ambayo inafanyika chuo kinapofungua
Yes ipo wengi tu huwa wanapata matatizo wakati wa sup. Ila ajitahidi kupeleka ushahidi wa kwamba alipata dharura, watamsaidia tu.Nashukuru Sana mkuu..kumbe huwa Kuna special ya sup..
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya.
Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa kuattend kwenye mtihan.
Sasa naomba kujua Ni hatua gan afuate ili anusurike wakuu..msaada wa mawazo tafadhali.
Natanguliza shukran
Nashukuru mkuu kwa mchango wakongoja nimjulishe afuatilie keshoPole sana.
Toa taarifa mapema, utafanya Special Supp.
Mara nyingi zinafanyika bila kutangazwa kwa wote, wahusika tu ndo huambiwa.
Hiyo sick sheet ni Kama chet Cha daktari au Ni Nini mkuuAandike barua ya kuomba kufanya mtihani huo ambao hakuudhuria!
Kwenye barua ataje sababu zilizopelekea asifanye mtihani na aambatanishe supporting evidence kuonyesha kama kweli alikuwa anaumwa!
Supporting evidence ya ugonjwa inayokubalika ni sick sheet aliyoandikiwa na dakatari wakati anaenda kupatiwa matibabu kama hana sick sheet then I'm so sorry for him/her!
Nashukuru kwa mchango wako mkuuAende chuo akajieleze vizuri kuhusu tatizo lake, na aombe kufanya special supplementary ambayo inafanyika chuo kinapofungua
Umefika hadi chuo kikuu lakini hujui sick sheet ni nini?Hiyo sick sheet ni Kama chet Cha daktari au Ni Nini mkuu
Kuongezea kwa waliokushauri wadau wengine..ni kuwa hiyo sick sheet hakikisha inatoka kwenye hospital zinazotambulika, pia ikiwezekana uipeleke kwa daktari mkazi wa hospital ya hapo chuo kikuu ili athibitishe authenticity ya hiyo document, na mwisho hakikisha daktari aliyemuandikia hiyo sick sheet ali recommend mgonjwa apate bed rest! au Exception from duty (ED), wakati mwingine wanaweza kuwa watata wakisema ni kweli aliugua lakini hakuna ushahidi kuwa asingeweza kuja kufanya mtihani, so kukiwa na recommendation ya ED au BR inasaidia sana!Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya.
Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa kuattend kwenye mtihan.
Sasa naomba kujua Ni hatua gan afuate ili anusurike wakuu..msaada wa mawazo tafadhali.
Natanguliza shukran